AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Esther (Uganda) , Lilian (Nigeria) pamoja na Sabina (Kenya) ndio washiriki walioondolewa katika shindano hilo usiku wa jana ikiwa ni ‘eviction’ ya pili toka shindano lianze.
Hadi sasa washiriki watano wa kike wametoka katika shindano hilo na kufanya idadi ya washiriki wa jinsia ya kike kubaki 8 huku wanaume wakiwa 13.
Nchi za Zambia, Mozambique, Kenya, Uganda and Nigeria kila moja imeshapoteza muwakilishi mmoja hivyo zote zimebaki na muwakilishi mmoja mmoja tu mjengoni.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Sasa itakuwaje mademu wamewahi kutoka na mijamaa bado inahamu haswa!Watashea au ndio!
ReplyDeleteDaveda hakustahili kabisa kwenda kutuwakilisha, mambo haya kuchaguana kiujamaa mbona tuna watu wengi wanastahili zaidi.
ReplyDelete