Kova ' Hatutambui Mkutano wa Ukawa Jangwani Leo'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kamanda KOVA ametoa onyo kali kwa mkutano unaoitwa wa ukawa jangwani. kamanda KOVA amedai hana barua yoyote ya ukawa ofisini kwake.
AMETOA ONYO KALI UKAWA KUTOENDA JANGWANI. HUENDA KUKAZUKA BALAA KM AGIZO LITAPUUZWA.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kova bana eti huenda kutazuka balaa... majambazi yanaingia bank wanakwapua mabilion yeye katoa mimacho tu kama fundi saa. mkutano wa ukawa ishakuwa nongwa intelijensia ya polisi imepata taarifa kutakuwa na uvunjifu wa aman. wake up kova ccm hawana maana wakishakutumia wanakutupa na kukusahau kama kondomu iliyotumika.

    ReplyDelete
  2. Walindeni wananchi na mali zao,mabenki yanaibiwa mmebaki kushupalia mambo yasio na msingi!

    ReplyDelete

Top Post Ad