AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kamanda KOVA ametoa onyo kali kwa mkutano unaoitwa wa ukawa jangwani. kamanda KOVA amedai hana barua yoyote ya ukawa ofisini kwake.
AMETOA ONYO KALI UKAWA KUTOENDA JANGWANI. HUENDA KUKAZUKA BALAA KM AGIZO LITAPUUZWA.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Kova bana eti huenda kutazuka balaa... majambazi yanaingia bank wanakwapua mabilion yeye katoa mimacho tu kama fundi saa. mkutano wa ukawa ishakuwa nongwa intelijensia ya polisi imepata taarifa kutakuwa na uvunjifu wa aman. wake up kova ccm hawana maana wakishakutumia wanakutupa na kukusahau kama kondomu iliyotumika.
ReplyDeleteWalindeni wananchi na mali zao,mabenki yanaibiwa mmebaki kushupalia mambo yasio na msingi!
ReplyDelete