Naombeni Ushauri Kuhusu Huyu Mzungu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ninae rafiki yangu mzungu wa Canada,huyu jamaa ananiambiaga nimtumie picha za watu walivyo maskini na nikiwa naongea nao,alituma pesa nikanunua Camera na laptop na huwa kila wiki ananitumia dola 50 nimemfanyia hii kazi kwa mwaka sasa na kuna wakati ananitumia hata dola 800 hata elfu moja ili niende mikoani.

Huyu mtu tulijuana kupitia biashara ya wadudu baadae akadai ameokoka kwamba ni mkristo na akaniuliza kwamba na mimi ni mkristo nikamwambia ndio amekuwa akiniuliza kuhusu bible na bible mimi siijui kwa undani sana japo ni mkristo na sijapata mda mzuri wa kujifunza.

Huyu mtu sijawahi kukutana nae face to face.Kusema kweli huyu mtu sijawahi kuumuulizaga madhumuni ya hizo picha japo yeye anadai anapenda kuwaona watu maskini kwenye picha ili awaombee.

Naombeni ushauri kwa watu wenye ujuzi zaidi na dunia.

~By Albosignathus JF
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwenzako atakuwa anatumia hizo picha kuombea hela kwenye mashirika kuwa anawasaidia

    ReplyDelete
  2. HASWAA! HILO NENO!

    ReplyDelete
  3. Si umwambie asafiri mwenyewe aje huku kwetu, umasikini umejaa kila kona, tena asilimia kubwa watu wapitisha bila mlo au mlo mmja wa sembe mradi bora liende. tena hauitaji hata kumpeleka mikoani humu humu Dar tu. umasikini kibao umejaa kila kona, labda hii mitumba inasitili watoto kutokwenda uchi bila kuvaa, ukilinganisha na mikoani, watoto vitumbo ndi, kwashakoo, nguo hana, kasimama nje, mlo hamna,kijumba kimechoka cha nyasi na kinavujiana, hmmm ndio khali halisi ya kwetu. bara vumbi tu. inabidi ajiandae pia, kuna vumbi wacha,nyumba hazina plasta nazo vumbo tupu

    ReplyDelete
  4. Mkisikia ujuha ndio huo..rafiki akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli..wewe ulitegemea angekuamini hivo akakuletea pesa ya laptop au camera?? Amekuamini kwa kujali upendo au utu. In returns yeye anachotaka kwako ni picha.. And u are gaining something that u didnt expect to get hata kutoka kwa ndugu zako au familia au marafiki!!.. Hata kama yeye anatunia picha kwa misaada au kuziuza but wewe si anakupa japo ujira wa wewe kumhangaikia? Hiyo ni sawa na ajira alikua anakuletea dola 50.. Mpaka 800.. Je bado kuwa Hukai ukamshukuru mungu wako?? ..kwa neema hizo?.. Jamani mtu ameomba ushauri nanyi mpeni ushauri wenye kumsaidia na sio kumpa akili mbofu.... kaka shikamana nae kwan hujui kuwa mbeleni utafaidikaje zaid!! Muhim wasiliana nae uzuri na mjenge utu na umoja iko siku atakuja na mtafanikiwa zaid...

    ReplyDelete
  5. Mm ni maskin,njoo unipige picha umpelekeee ili aniombee. Tuwacliane

    ReplyDelete

Top Post Ad