AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda ameamua kumuweka wazi mpenzi wake ambaye siku za nyuma alikuwa na mpango wa kufunga naye ndoa mapema mwaka huu lakini kukatokea tofauti kidogo wakahairisha zoezi hilo.
Akizunguza na mwandishi wa habari hivi karibuni, Kadinda aliweka wazi kuwa huyo ndio mke wake mtarajiwa na Mungu akipenda watafunga naye ndoa mwakani. “ Ni kweli ni mpenzi wangu nampenda sana na Mungu akipenda ndiye mke wangu ambaye nitafunga naye ndoa mapema tu mwakani na Mungu atusimamie katika hilo,” alisema Kadinda.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Sasa huyo Dada atakuwa analipwa sh ngapi kulala na mwanamke mwenzie??
ReplyDeletelakini huyo kadinda si shoga vile vile makubwa haya usipoamini ya musa auaona ya firau
ReplyDeleteHahahaha hahahaha eee
ReplyDeleteUkisstajabu ya musa.
ReplyDelete