AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwanamuziki Ali Kiba a.k.a The King is Back Amekanusha Vikali Uvumi ulio enea mitandaoni na magazetini kuwa eti alikodisha watu kwa ajili ya kumshangilia yeye na pia kumzomea Diamond Platnumz...Ali Kiba Amesema hawezi fanya kitu kama hicho kamwe kwa sababu hakina faida yoyote katika mziki wake ...Ali kiba pia Amewashukuru sana mashabiki kwa jinsi walivyompokea siku hiyo kwa kusema kuwa kitendo hicho cha kupokelewa vizuri kimempa matumaini mapya kimuziki.
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
msimsingizie!!!!
ReplyDeleteMimi sio shabiki wa Diamond wala Kiba,
ReplyDeletelakini kwa hili hainiingii akilini kuwa Kiba amekodisha watu wa
kumzomea Diamond.kwa hela gani aliyonayo kiba mpaka afanye hivyo?
kwa upande mwingine naona kama vyombo vya habari vinachangia sana kuwagombanisha.
Kiba wewe ni mkubwa sana kwa Diamond,anza kuonyesha amani,munaweza kumaliza hili tatizo lililopo kati yenu.Malumbano hayafai.