Mwanamuziki Diamond Aachiwa Kwa Dhamana Baada ya Kukamatwa Kwa Kesi ya Kuvaa Nguo za Jeshi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Taarifa zinazomhusu msanii Diamond Platnumz kuhojiwa na jeshi la Polisi hii leo zimeenea sana kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kuanzia jana (tarehe 21 Oktoba) meneja wa msanii huyo Babu Tale amekua akihojiwa na polisi mpaka alipoachiwa kwa dhamana mapema jana saa 5.
Vile vile msanii Diamond aliripoti polisi mapema jana kwa ajili ya kuhojiwa, ambapo baada ya kuhojiwa msanii huyo ameachiwa kwa dhamana .
Hii ni picha ikimuonesha msanii Diamond akitoka kuhojiwa na jeshi la polisi.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani, mbona hayo magwanda walivaa wengi?

    ReplyDelete
  2. wakina nani tukawakamate? una ushahidi ?

    ReplyDelete

Top Post Ad