Mwenzenu Nusu Nitembee na Kaka Yangu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamani yamenikuta mwenzenu, juzi siku ya Nyerere day kulikua na event nyumbani, wakaja ndugu na jamaa, sasa kuna Binamu yangu ambaye tulishakutanaga siku za nyuma kwenye harusi ya kaka yetu mmoja hivi tukajikuta tunashangaana, upande wangu I was like woow! I met a man from my dream, nilimpenda kwa ufupi, after asking my sister ndo akaja niambia he is ur cousin.

Basi tukawa marafiki tu na ndugu ofcoz, sasa hii juzi alivyokuja tukawa pamoja kwa mda mrefu sana! it was my father's birthday tukawa tunahudumia vinywaji pamoja mpaka event ilivyoisha, nyumbani kuna kisehemu kimejificha ndani ya garden, kuna yale maua marefu so si rahisi mtu kukuona kwa usiku, nikabeba bia zangu za kutosha nikaenda kukaa pale.

Sijui aliniona au vipi nae akaja! hapo wazee wapo ndani wanapiga stori zao, basi tumekaa tunakunywa pale na stori tukajikuta tunakiss, sio siri jaman! I wish he wasn't my cousin, bahat nzuri hatukufanya chochote kingine, just touching en kissing nikajifanya nimeshtuka nkaondoka nikaingia ndani.

Sasa toka hiyo juzi ananipigia nashindwa kupokea wala kujibu msg zake! najifikiria nitaanzaje kumuangalia tukionana, japo yeye ameniomba msamaha kwa text na kusema it just a feelngs he has for me ndo mana imetokea hivyo, na the first day ameniona amenambia yale yale nilokua namfikiria mimi.

Si kwamba sikutaka itokee! ofcoz na mimi nampenda, ila kwa hii loneliness niliyokua nayo nahisi tutaelekea pabaya na ananambia nisipoongea nae about this atamwambia my sister how much he luv me na ikiwezekana my mom, yuko tayari aonekane chizi.

Nifanyeje jamani.
~Belie
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad