Nzowa asema dawa za kulevya alizokamatwa nazo Chid Benz ni Heroine

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, Godfrey Nzowa amesema dawa za kulevya alizokamatwa nazo rapper Rashidi Abdallah Makwiro a.k.a Chidi Benz katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Ijumaa iliyopita (Oct. 24) ni aina ya Heroine.
Alikuwa na dawa Heroine kete 14″, amethibitisha Nzowa kupitia 255 ya XXL ya Clouds Fm. “na tunaendelea kumhoji tuone kama alipewa au nini kwasababu katika kupatikana iwe umepewa kwa hifadhi au kwa nini bado hiyo ya kupatikana inakutosha, kwasababu hakuna mtu anayepaswa kupatikana na dawa za kulevya. sisi whether unatafutwa siku nyingi hutafutwi siku nyingi kwa wakati huo huo tunapokukuta na hizo unakuwa in for it, na ndio maana sheria inasema hakuna hata defense…sisi tunashukuru kutokana kwamba amekamatwa kwasababu ni dawa hizo za kulevya imethibitika ni dawa za kulevya inatosha.”

Kamanda Nzowa ameongeza kuwa kwa sasa wanaendelea kumhoji na utaratibu utakapokamilika atapandishwa mahakamani.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mnamuhooji ili kujua nini?

    ReplyDelete
  2. anonymous 9:25 akili zako zipo mkunduni mwako eti wanamuoji ilikujua. nini. shortly ili kujua anamfira baba yako au mama yako

    ReplyDelete
    Replies
    1. ila bro..haujatumia hekima,wala huyo mtu hajakukosea kitu alipouliza hilo. sasa iweje umtukanie baba yake na mama yake...tabia zako za kiswahili jifunze kuzicontrol unless otherwise hakuna atakayekaa karibu yako akakufurahia. wish you lucky.

      Delete
    2. Babako na mamako wote wana mikundu nao wanafirwa vilevile. Mngese mkubwa weee kama hukutaka kumjibu ungepiga kimya. Malaya mchafu weee rudi tena na mitusi yako uone kazi. Una hasira sn eeeeh au chid bwanaako?

      Delete
  3. duhuuu akili za mtu utazijua kwa comments zake tu.matusi ya nini wewe ndugu?na wasiwasi hata baba na mama yako huwajui wewe uliokotwa kwenye Rambo...........

    ReplyDelete
  4. mtamfunga huyu muathirika wa madawa buree, mkiyaacha manguli yanayoingiza macontena ya madawa na hilo mnalijua , kontena mmelikamata na kisha kuliachia, leo mnamkamata huyo muathirika, msaidieni ajirudi aendelee kutuburudisha kwa muziki wake, kama mlivyofanya kwa RAYC, anafrustration za usuperstar na maybe kuvurunda kimaisha,,

    ReplyDelete
  5. @ at 10:16 am we chizi kweli yaani kumtukana mtu kiasi hicho jifunze kaka.

    Au ndio nyie mnaokamatwa mbona unakasilika bila sababu.

    ReplyDelete

Top Post Ad