Diamond Atanua na Boss Lady Zari Tajiri East Africa Nzima

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni baada ya huyu mdada kutoka uganda ZARI a.k.a The boss lady binti tajiri East afica nzima mwenye gari na nyumba za kifahari kuwa karibu awali na "sukari ya warembo"
licha ya kupanda ndege moja wakija Tanzania na kupost picha zao instagram chanzo kimesema binti huyu na chibu walifika wote airport ili kujiandaa na safarit ya kuja tz. awali inasemekana wawili hao walikua karibu kitu kilichofanya wapeane kampani waje na ndege tarehe moja, ratiba moja, kwa siti moja, Hii imekuja wakati ambao kuna tetesi kuwa Dai Ameachana na Mpenzi wake Wema Sepetu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uzushiiii Zari atembeee Na Domo itakuwa vichekesho vya mwakaaaa.Kukaa kiti kimoja SI hoja,Yani Zari nitakushusha thamani Kama ni kweli duuu,Duniani ni vituko,Zari Na Damond??Mamaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. huyo zari ndio mwenyewe ki here here chake kaziweka hizo picha kwenye insta yake ye diamond haja post kama alikuwa nae kwa hiyo huyo zari ndio anataka watu wajuwe kwamba alikuwa na diamond kwenye ndege

      Delete
    2. zari nae sijui ni niksi uzuri wooote tangu apewe talaka na mumewe ajapata tena wa kumuoa na uzuri wote huo,lilia bahati uzuri si hoja.

      Delete
    3. Ulie comment hapojuu nizoba.kwanza ngoja nikupe sifa za wanawake wazuri kama zari nawenye pesa wakohivi,hawapendwi kubabaishwa katika mapenzi,we wakati unafikiria kutiwa yeye Ana many things to attend,kunamda anataka Ku relux anaweza Ku mingle naamtakae.nahakosi bwana wa kumingo nae nawanakuwaga wa matawi wenzie au akiamua anaweza Mingo nayeyote mradi awe na appearance nzuri.nani ma time taker.sasa wekaa hapo waza ananuksi wewe ndio unanuksi pengine hujijui.

      Delete
  2. heeeeee hivi wazuri nao wanapewaga talaka?mi najuaga ni sisi wenye sura mbaya tu,asalale,kapewa talaka?yarabiiii,

    ReplyDelete
  3. weee acha kupigapiga picha na watu penny kavumiliaaaa movie iishe kati yako na wema sasa hivi imeisha tunataka ona unapiga picha na penny,penny anakuzuga hana mchumba wala nini mimi ni mtu wake wa karibu,jichukulie ngoma hiyo,wakina zari watakutoa ulimi uwawezi ni taifa kubwa haoooo

    ReplyDelete
  4. A nony 8:26 wewe ni Zari mwenyewe una nuksi usijitetee,sio bureee,Sasa unasema una mingle Na mwanau
    Me umtakae,ukimwi wako peleka Uganda nyooooo.kutembea Na wanaume tofautitofauti according to your statement hapo juu ndo sifa???

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata Mimi kanichekesha eti anatembea Na mwanaume anayemtaka,Zari uogopi magonjwa?siku hizi magonjwa dada yangu,usijitape eti unatembea Na mwanamme unayemtaka.

      Delete
  5. Wanawake wazuri woteee wameolewa wamechoka Na wanaume zao manungayembe yenye nuksi kutwaaaa kuangaika,Zari una watoto wakubwaaaa lakini kujitia Kama msichana mdogo.grow up mama.

    ReplyDelete
  6. Wewe Zari grow up unajua kabisaaa Domo anawanawake zake TZ unaweka picha hizo ili wanawake zake wakushuku unakula bwana wao?heshimu wanaume za watu,Kama unanyege mwambie Domo akusugue

    ReplyDelete
  7. Zari ni mbwembwe tu Hana lolote tangu apewe talaka Na mumewe.

    ReplyDelete
  8. First born Wa Zari Ana 17,lakini Zari kutwaaa kujitia ka binti,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa ajiweke kama mama rwakatare kisa anabinti wa17.we nayeye hapo nani anaonekana mzee??tokeza na ndala zako na tumbo lilifonika papuchi hapa tukuone.ulitaka ajitie utuuzima miaka yake unaijua?ndio uzuri wakuzaa mapema nakujitunza.sio ofa za bia we unakunywa wee mpaka watu wanaambizana Yule usimuite kwenye ofa.ukitoka hapo Noah kilo nanusu.ofa hupitwi.wako watu wanajipenda wana principle katika miili Yao namaisha Yao.mtu anawatoto wa3 ukiambiwa utakataa.hajiachii.sasa we mtoto mmoja kama umezaa costa heeee

      Delete
  9. hivi zari anajua kiswahili?

    ReplyDelete
  10. Kweli kunawatu wanapenda kutombwa tombwa,kwani mwanamke kuishi bila mume ni zambi?wish ningekuwa nahela kama za zari nawanangu maana nisingejali ndoa zaidi ni wanangu na ndugu zangu.biashara zangu kulabata na wanangu.maana mijanaume ukiiendekeza unafubaaa live yr life zari enjoy to the fullest.poleni viboro cheza mnaojionaga wamaana kusumbua wanawake.sikuhizi ukiwa nahela mwanamke unaishi utakavyo tuache kusujudia mboo.

    ReplyDelete
  11. Zari don't be stuped to have that rubbish frm Tanzania

    ReplyDelete
  12. That is nt zari acheni umbweha akae ajibishane huku since when??kwakipi Hasa?huyo nimtu atakuwa Katoa maoni yake kama sisi tu.minampenda zari alivyo na maishayake hata kama kaachika alishazaa anawatoto wake kilichobaki Niku enjoy nawanae tu.labda apende kuolewa tena otherwise sio muhimu kivilee.watoto ni faraja kutoka kwa mungu wanamtosha na ndugu zake siwapo napesa sianazo.nini shida ukae najanaume likukeree miningekua yeye walasitaki ndoa tena.

    ReplyDelete
  13. Mdau Zari anajua Kiswahili kukushinda,Sasa unafikiri wanaongea Na Domo kingereza?ushamsikia dai anaongea kingereza? Utachekaaaaa,Uzuri Wa dai wala aoni noma kuongea broken,

    ReplyDelete
  14. Domo Acha umalaya umetembea Na dunia nzimaaaaa.Bongo wadada wazuri wooote umewamaliza sasa ndo maana ukipiga Na mtu watu awakuamini kwasababu ya tabia zako,

    ReplyDelete
  15. Zari piga picha Na star yeyote ambae Hana skendo za umalaya,watu watakaa kimyaaa brother wetu Domo tunamjuaaa aachii mrembo akapita lazima am DO.amewa DO warembo wooote Dar.

    ReplyDelete
  16. Kwakuwa yehuyo domo ndio anasumaku?nanimjomba wa Allah kila mwanamke atakaekuwa nae karibu lazima alale nae?"au nifikra za watu Hasa wabongo kuwa kilamwanamke atakaekuwa karibu na domo lazima walalane.kweli wabongo ngono iko mbele kwetu mpaka aibu.mtaumbuka nyie bwabwajeni tu.

    ReplyDelete
  17. Yaani waBongo kazi mnayo!! kutokuwa na kazi mjini shughuli khaswa! hata humu mnatuwekea Team Zari Vs Team Dongote.

    ReplyDelete

Top Post Ad