AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Project hiyo imewashirikisha wasanii wote bora kutoka Afrika ,kwa kutambua uwezo nafasi ya Dai hawakusita kumchagua.....
Tokea kuisha kwa fiesta haya ndio matukio makubwa aliyofanya Dai huku wale wasanii wa fiesta wakisubiri mwakani msimu wa fiesta uanze..
1. Kupiga shoo zaidi ya 15 hapa tz na nje
2. Kuperfom kwenye Big brother
3. Kutoa nyimbo mpya yenye Video kali saana
4. Kuvunja rekodi za youtube, mkito.com na Mziiki.com
5. Kutoa nyimbo na msanii kitoka Nigeria "Waje"
6. Kuujaza uwanja(stadium) Iringa yeye mwenyewe
7. Kuchaguliwa kwenye Project ya We are te world Afrika
8. Jana Kuingia Kwenye Jumba la Big Brother Kupiga Mastori na Washiriki
9. Stil counting
Utaipendraaaaaaaaaaaa
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Na iyo ni nyota ya wema ama ni mwenyezimungu ndio kangarisha nyota yake pengine kuwachana na wema ni kheir kwake kwa kufanyikiwa zaidi Allah bless you.
ReplyDeletediamond ni bidii yake hakuna cha wema wala nini!! kaza buti diamond!!!
ReplyDeleteMwenyeezi Mungu ndo mweza wa yote! Muogopeni Mungu mnaotaka kumchafua kijana wa watu mko wapi? Kila la kheri baba kaza buti onyesha kwa vitendo kuwa wewe ni nani!
ReplyDelete