AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Licha ya madai wanayoyatoa mastaa wawili hot kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady kuwa si wapenzi bali kuna project wanaifanya, wawili hao wameumbuka.
Kuumbuka huko kumekuja kufuatia kuvuja kwa picha inayowaonesha mastaa hao wakidendeka huku wakiwa kwenye hisia kali.
Katika picha hizo ambazo kwa sasa zinapatikana mtandaoni, Zari anaonekana akiwa amevaa kofia ya Diamond wakionekana wenye furaha na baadaye wakahamia kwenye kupeana mahaba.
Aidha, picha ambayo inawaumbua ni ile ya kudendeka ambapo baadhi ya wadau walioiona walisema, inavyoonekana projecti wanayoifanya imevuka mipaka.
“Wasitutanie bwana, hivi kweli kwa picha hii watasema ni projekti? Hawa ni wapenzi ila hawataki tu watu wajue,” alisema mdau mmoja aliyejitambulisha kwa jina la John baada ya kuona moja ya picha hizo.
Awali, Diamond ambaye hivi karibuni alimwagana na mpenzi wake Wema Sepetu alinukuliwa akisema kuwa, watu wasidhani yeye na Zari ni wapenzi bali kuna projecti wanayoifanya.
Licha ya madai hayo, wengi wamekuwa hawaamini kutokana na ukaribu uliopitiliza na picha zinazoendelea kuvuja huku wakisema, kama ni wapenzi bora waseme kwani wote wako singo kwa sasa.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
sasa photo ya wema yahusianaje. mna mambo kwel
ReplyDeleteZari Ana kadi jekundu siku nyingiiii patamu hapo.
ReplyDeleteKwani kudendeka sio project?
ReplyDeleteAcheni project iendelee mambo ndio kwanza yameanza,big up platnumz!
Ukimwiii
ReplyDelete