AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Katika post yake hiyo Wema aliandika
“…Hongera tele ziende kwa kaka platnumz... I must say he did Tanzania proud..” na kufanya watu waanze kufunguka ya kwaio ya moyoni kuhusu kauli hiyo na baadhi yao walisema haya.
MELA : “Leo kawa kaka!!!!!! Aiseeee mapenz ya mastaa mafupi kama mkia wa kondoo”
“ LILY: “et kaka plutnums heheheheh wema bwana”
“PIERE: mara hii kaka tena?? Ohhhhhh”
ANNA: “hao ni wakuwaacha kesho.tu.watakua tena pamoja”
Katika tuzo hizo, diamond alisindikiwa na anayesemekana kuwa kipenzi chake cha sasa, mwanadada Zari ktukoa nchini Uganda, pamoja na mama yake mzazi na team ya wasafi.
Nini maoni yako mdau kuhusu ishu hii?
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Napita tu
ReplyDeletemmhhh
ReplyDeleteooohhh comment zimerudi sio yelewiiiii mana palipooza aisee
ReplyDeleteDangoteeee
ReplyDeleteKaka anajua ukimfananisha tu anahama na kuwaacha mbali, jitihada zake zinaonekana wekeni majungu kando.
ReplyDeletekwaiyo walitaka amuiteje mpenz? au x wangu acheni ujinga kwani daimond alivyosema penn now ni dada ake hamkuona au
ReplyDelete