AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
MWANADADA asiyeishiwa matukio Bongo, Baby Madaha ameibuka na kutoa kali ya mwaka kwamba anapenda mapenzi kuliko kitu kingine chochote duniani.
Akichezesha taya na paparazi wetu, Baby Madaha alisema ‘hobi’ yake ni mapenzi japokuwa anapenda muziki lakini haifikii jinsi anavyoyapenda mapenzi kwani yanampumzisha akili yake na kumfurahisha moyo wake pia.
“Ukweli napenda mapenzi kuliko kitu chochote ila sipendi kuzinguliwa na wanaume, ninapenda muziki, filamu lakini haviwezi kufikia mapenzi kwani ndiyo kila kitu kwangu na yananipa starehe kuliko kitu chochote hapa duniani,” alisema Baby Madaha.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Maskini wee huyu dada anatia huruma. Wazazi wake wapo kweli!
ReplyDeleteMsukuma gani huna adabu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!hukufunzwa kwenu au n nini hasa tatizo???????????me navojua hizo ni siri zako na c kitu cha kuongea hadharani,,,,,,,,,,,nyambafu wewe
ReplyDelete