Mwanamitindo Maarufu Millen Magese usiku wa Jana Alimwandalia Mrembo Jokate Sherehe ya Kumpongeza Kwa mafanikio aliyoyapata kupitia kazi zake za Kidoti akiwa pamoja na hivi karibuni kupata mkataba mnono wa kufanya kazi na kampuni moja kubwa wa Bilioni 8..
Tazama Picha
Eeeeeh,asengwile sanasana.
ReplyDelete