Mwanamuziki Diamond Aweka Historia Mpya.......Show yake Yawa 'Sold Out'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni show yake ya kufungia mwaka pale DarLive, tiketi ziligombaniwa kama pipi na kuisha mapema huku watu wengi wakizuiwa kuingia baada ya tiketi kuisha na watu kujaa ndani kuliko kawaida.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe acha kuongopea watu, huu ni msimu wa Sikukuu ukumbi huo wa DARLIVE ni mtoko wa Uswazi, watu siku kama hizi huwa wanajaa sana. Hata Coco Beach watu walikuwa wanakanyagana kisa sikukuu.

    Kingine ina maana hiyo show ilikuwa ya Diamond peke yake? Unataka kusema hao kina Mzee Yusufu na wasanii wengine walibebwa na Diamond? Hovyoo ataporomoka vibaya huyo mtu wenu msipoacha dharau kwa wengine, haya wee sie yetu macho.

    ReplyDelete
  2. Sasa wewe mdau hapo juu unatokwa na mapovu ya nini? kipi cha kuuliza hapo, hivi bila Diamond siku ile Dar live unadhani watu wangekanyagana kwa ajili ya kwenda kucheza taarabu? hebu tuwe wawazi, ni msanii gani wa kibongo kwa sasa anajeuri ya kujaza watu kama si Diamond? ni kweli hawezi kuwa juu milele ipo siku atachuka, sababu walishakaaga juu akina Mr. Nice, Juma Nature, Ally kiba na sasa wanasubiri kwa Diamond kwa hiyo suala la kushuka hilo lipo ila kwenye ukweli achene watu waseme ukweli, dogo sasa hivi nyota yake ipo juu sana, na ndiyo muda wake wa kumake achene kubishana na ukweli wabongo, ndiyo maana huwa hatuendelei kwa maroho yetu ya kwanini, wasanii wengine hao mnaowapenda wafundisheni wajifunze kupitia mwenzao ametoboa vipi hadi amefika huko na siyo kuwadanganya eti wasubiri ashuke. Ni hayo tu.

    ReplyDelete
  3. Kwa nini unamuombea mabaya damond,riho yako na wewe ni mbaya hata kama weee humpendi kaa kimya unamlaani ashuke Mungu aliemuumba anambariki.sjui kwa nini watu wengine wana roho za giza hivyo.Diamond anajituma sana kwa hiyo akifanikiwa furahi nae au funga domo lako.

    ReplyDelete

Top Post Ad