Jokate Akanusha Kutoka na Millard Ayo!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamitindo na mwigizaji, Jokate Mwegelo ameucho molea vilivyo uvumi uliozagaa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji Millard Ayo wa Clouds FM.

Uvumi huo ulianzia mitandaoni ambapo mwanahabari wetu alipomtafuta Jokate juzikati, aliweka plain ukaribu wake na Millard ambaye ni mtangazaji mwenye mvuto mkubwa kwa jamii.

“Millard ni mshkaji, namkubali kutokana na uchapakazi wake, anajua kujituma na ni mpambanaji lakini nje ya hapo hakuna cha zaidi,” alisema Jokate.

Picha: Jokate akiwa katika pozi na Millard Ayo

GPL
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na usitoke nae maana nyie jamii ya wema mnaweza kukaua hako ka toto! wanawake mnamvulia chupi kila mwenye jina na hela! millard usithubutu kabisa, usile makombo kama domo, domo kazoea kula makombo ya watu mpaka wanazalisha na watoto yeye yumo tu! na sasa hivi anakula na dada zake wanao mzidi umri

    ReplyDelete

Top Post Ad