Lemutuz 'Kwenye Shida Ndio Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea. Le mutuz alifunguka

Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na le super gademu mburulazzz mazafantazzzz.....nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama yangu anaumwa hamna hayapigi simu le mazafantazzz.....thank U Super Star Lulu you are a true friend sio le mburulazzzz yanajua kuulizia Party tu the brainlessss mazafantazzz hahahahahahah U know! - le Mutuz”

Kwa mujibu wa Le Mutuz, kwasasa mama yake yupo poa
Sasa wale mabebez wengine anaopigaganao mapicha watakuwa kwenye hali gani baada ya Le Mutuz kuwapa makavu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lulu si anaumri sawa na watoto Wako. Uoni aibu kusema ni rafiki yako

    ReplyDelete
  2. Hapo ndipo tunapokosea. Hata watoto wako wanapaswa kuwa marafiki zako. Tatizo wengi hatujui saikolojia ya kuhudumia familia zetu. Rafiki ina maana kubwa kuliko uwezo wa upeo wako wa kufikiri.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wee lulu acha ujinga na hao wazeeeee utafika nao wapiii kila kukicha unawavulia machupi,mwisho utazee uwe kama hao rafiki zako kutafuta ndoa aaa.wee mtt wa kikristo acha izooooooooooo

      Delete

Top Post Ad