Bondia Francis Cheka Ahukumiwa Miaka Mitatu Jela..Kisa Hichi Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bondia maarufu nchini wa ngumi za kulipwa Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi millioni 1 kwa kosa la .....



kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake iliyopo huko Morogoro

Meneja huyo ajulikanaye kwa jina la Bahati inaelezwa alienda kudai fedha zake alizokuwa hajalipwa na bondia huyo wakati akifanya kazi ya umeneja katika baa yake hiyo ndipo Bondia huyo alikataa kumlipa na kumshushia kipigo
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MMM KWELI HAPO HAKI IMETENDEKA??????? AU KWA VILE NI MAHARUFU TU NDIO WAMEAMUA KUMALIZA TU MWEZENU????

    ReplyDelete
  2. HAWA MABONDIA WANAPENDA KUONEA WATU SANA. NAMPONGEZA HUYO JAJI WA MAHAKAMA KWA KUMSHIKISHA ADABU HUYU ILI IWE FUNDISHO KWA MABONDIA WENGINE ANOPENDA KUONEA WATU.

    ReplyDelete

Top Post Ad