JOTI wa Orijino Komedi Amwisha Pete Ya Uchumba Mpenzi Wake Wa Siku Nyingi!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa mujibuwa mtandao wa  JF, Mwigizaji  wa vichekesho Lucas Mhuvile, almaarufu kama Joti, anayepiga kazi kwenye kampuni ya Orijino Komedi, amemvisha pete mpenzi wake wa ......



siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema kwamba safari ya kuelekea kwenye taasisi muhimu zaidi duniani ya NDOA imewadia..

Akiwa na swahiba wake wa siku nyingi, Mr. Mjuni Sylvatory a.k.a Mpoki, Joti alionekana mwenye furaha muda wote kwa kutimiza tendo hilo huku akiwa amealika watu wachache sana kuhudhuria tukio hilo.

Bongomovies.com bado haijazithibitisha taarifa hizi.

Kama ni kweli, tunampongeza sana na kumtakia kila la kheri yeye pamoja na mwenza wake
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Amechelewa sawa miaka hamsini ni ndio anamvisha pete watoto si watalelewa na babu sasa Joti umri umeenda

    ReplyDelete
  2. Du kweli Joti Mzee tangu mwaka 1980 anaigiza pete ya chumba ndio kwanza je ndoa atafunga lini mi nimemzoea mzee wa chalinze

    ReplyDelete

Top Post Ad