Kwa Huyu Zari Diamond Kafika Mwisho wa Reli Embu Ona Wanavyo Kula Raha, Ni Hakunaga Haijawahi Tokea Kwa Mwingine

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Ni ukweli usiopingika kwamba Diamond anampenda sana Zari kuliko wanawake wote aliowahi kuwa nao kimapenzi, Bata wanazokula na kuongozana kila mahali mpaka kwenye show anazopiga Diamond Sehemu mbali mbali ni Ushahidi Tosha kuwa wawili hawa wanapendana kinoma noma...

Wengine wanasema Ujauzito umechangia Mapenzi kuwa Moto moto  kwani Diamond ilikuwa ni Ndoto zake siku moja aje apate mtoto sasa hao wengine walikuwa hawataki kumzalia Diamond...



Dimaond Ameandika haya kwenye Ukurasa wake wa Instagram:

'She had never been to zanzibar so i had to take her there to experience the beauty of Tanzania...
(Alisema hajawai fika Zanzibar, imebidi nimlete ili ajionee uzuri wa Tanzania yetu...) jus #earlierToday #ValentineWeekEndInZanzibar'


Wale wa ndimu Zipo, Najua kina wauma sana!!!
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ilitakiwa wawe pekeyao sio na wapambe

    ReplyDelete
  2. Ilitakiwa wawe wenyewe sio na wapambe

    ReplyDelete
  3. Mwaka huu kuna mtu atajinyonga

    ReplyDelete
  4. Mwaka huu kuna mtu atajinyonga

    ReplyDelete
  5. Ni nzuri kwa matumizi,kutwa mara tatu lakini weka mbali na wtoto.

    ReplyDelete
  6. DAH CHIBU KULA 5 WEWE MKALI BANA. MTUNZE VIZURI ZARI!! WANAOSEMA OVYO ACHANA NAO USIKU WATALALA WEWE SONGA MBELE!!! BIG UP. WANAUME MPO HAPO?????? MAPENZI SIO KITANDANI TU JAMANI.

    ReplyDelete
  7. mondi muoe zari,mapenzi yatazidi maradufu

    ReplyDelete
  8. muoe bhanaaaaaaaa.....

    ReplyDelete
  9. KWELI MUOE KABISAAA!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. watafutieni choo wakane hao team kujinyea wamekwisha sasahvi diamond huyo ndio mwanamke siyo mwanamke full mchina shape adi rangi ya mwili

      Delete
    2. YAANI MNAPENDEZAJE?? TUMISHENI MAPENZI YENU ILI MTOTO AZAWE NA MAPENZI MAKUBWA TOKA WA WAZAZI WOTE BILA STRESS.

      Delete
  10. Kwa picha wanazoposit kila siku hakika inadhihirisha ni jinsi gani chibu imemuumiza kuachwa na Wema na Zari kuteseka alivyoanza kupigwa na Ivan sababu alikuwa anamchit Ivan wote Hao wawili stress zao zinafanana.

    ReplyDelete

Top Post Ad