Kwanini Baadhi ya Kina Dada Hupenda Wanaume Wahuni na Makatili (Bad Boys) na Kudharau Wapole?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Utakuta kila mara anapigwa anatukanwa na kugundua ana Wasichana wengine lakini yumo tu kazi ni kulalamika kwa mashoga zake, huko watamshauri aachane na huyo jamaa katili na muhuni lakini utakuta anawadharau anaenda tena.

Naamini hili halipo kwa Wakurya tu ni wanawake in general hawapendi watu soft. Kweli hawa viumbe ni wa ajabu sana wakati mwingine si mke wa mtu ni mpenzi tu chuoni ama uraiani hata kwenye mashule wanapigwa tu na kuendelea kuwa na Body Boys

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Wakati mwingine ni kama wanachokoza ili wapigwe maana wakionywa jambo flani wanarudia kisha wanapigwa halafu wanaunda jopo la kuomba msamaha.Je ni Tatizo la Kisaikologia ama ndo Nyota za Punda?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WAJINGA WANA WANAOKUBALI KUPIGWA. MIYE MUNGU NI MWEMA KWA UPANDE WANGU NIKO NA NDIO MIAKA MINGI SANA LAKINI HATA KOFI SILIJUI KWANI ANANIPENDA KWA DHATI KWANINI ANIPIGE??? TUNA MAISHA MAZURI SANA TENA SANA NAMSHUKURU SANA MUNGU KWA KUNIPA MUME HUYU!!! KI UKWELI FAMILIA YETU NI BOMBA SANA TUNA WATOTO WAWILI KIKE NA KIUME. MAMBO YA KUPIGANA KWETU NOOOOOOOOOOOOOOO!!! WALA MATUSI KWETU NOOOOOOOOOOOOOO. KABISA. ASANTE MUNGU KWA FAMILIA HII NZURI.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad