Le Projectii:Wema Sasa Ampikia na Kumpakulia Ommy Dimpoz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wakati mwanamziki wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz akiendelea kupepesa macho na kutikisa masikio kukanusha kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na mwingizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu ukaribu wao bado unatia mashaka na kuendeleza sintofahamu miongoni mwa mashabiki na wapambe wao.

Japo kuwa Ommy alielezakuwa yeye na Wema ni marafiki toka kitambo kabla hata ya wema kuwa na mahusiano na mwanamziki Diamond, lakini  hii imezidiii.

Mbali na kuonekana wawili hawa kuwa pamoja sehemu mablimbali za starehe toka Ommy atoke Marekani, hili la kupikiwa na kupakuliwa nyumbani kwa Wema ndio limezidi kuchochea hisia kuwa wawili hao wanamahusiano zaidi ya USHKAJI.

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram mwanadada Wema ambae na folloers zaidi ya laki nne , alibandika picha hiyo hapo juu akionekana kumpakulia chakula ambacho alijisifia ni kizuri na amekipika mwenyewe na kumtania Ommy kuwa alikuwa analeta pozi kwenye kula.

“Dat moment anapokuja home and umepika chakula alafu analeta pozi at first then unashangaa anaenda sahani mbili.... Talk About Good Food Made Real Good”- Wema aliandika mara baada ya kutupia picha hiyo.

Japo kuwa hadi sasa mwanadada Wema Sepetu ajajitokeza kukataa au kukubali juu ya yeye kuwa na mahusiano na Ommy lakini idadi kubwa ya wampambe wake mitandaoni na ifagilia sana hii “Couple”.

Tuvute subraaa.

Mzee wa Ubuyu
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Broken english....concubine

    ReplyDelete
  2. Wema anajua vizuri english labda wewe uliesoma chini ya muembe na Almasi alofundishwa na wanawake.

    ReplyDelete
  3. followers dia , indeed u rily need to go back to class coz it a big SHAME!!!

    ReplyDelete
  4. Mbona kamshikia kiuno na kumwangalia kama kaweka kitu lazima ule na umalize hicho chakula marekani utaruka tena???

    ReplyDelete
  5. Huyu mtoto anabahati! kila anapoanguka hakosi wa kumdaka!

    ReplyDelete
  6. Hainahaja yakuandika kingereza kama hukiwezi andika kiswahili tutakuelewa

    ReplyDelete
  7. Halafu si alisemaga kwake hakuna hot pot maana siku zile hata domo akirudi nait kali alikuwa anaamka kumpikia na eti domo halishwi viporo? Mbona hapo kuna hot pot? Anonymous 3:32 Wema hawezi kukosa wa kumdaka kwani anajua wanaotafuta mapozeo wanapatikana wapi. Ile mimba ya Ommy bado ipo? Au imetoka baada ya kudinywa na Ivan? Malaya mbwa asiejitambua. Dai kamchanganya mpaka anagawa kuma kama ubwabwa. Like mom like daughter.

    ReplyDelete
  8. Hahah halafu anajidai kuongea english kwa saaana. Au kiswahili chenye accent utadhani kaja bongo after 18. Kumbe yumo humux2 bora hata Ommy alieekanyaga US akapigwa chini. Siku ile pale global alikuwa anatukama kama Mwajuma msasambuaji au Tabu muuza shanga. Kutwa anavizia wa kumlipia kodi ya nyumba au wa kumhonga gari. Wee malaya jifananishe na 1.Hoyce Temu 2. Jokate 3. Faraja Kota. 4. Nancy Sumari. Umepaukaaaa kwa kuvurugwa mbele na nyuma. Mfyuuuu

    ReplyDelete
  9. watoa comment mnatoa tu mradi hakuna vat wala ushuru wa forodha ths lady wema she is super star yani dada ni mkali kwa nyota yake ukisikia wema hata uwe wapi lazima ugeuke i like her a lot really na diamond sio sultable for wema ni basi tu mapenzi hayana macho diamond hana mmoja mwanaume wa kila mtu hafai kuwa mume wa mtu kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad