Lemutuz Atoa Somo 'Mwanamke wa Maana Tunamjua kwa Kuwangalia Marafiki Zake wa karibu Kwanza'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lemutuz Ametiririka Haya Maneno Kwenye ukurasa wake wa Instagram , nimeona sio vibaya kushare na ninyi hapa.....Kwa sababu kuna ujumbe hapa...hasa kwa watu fulani hapa mjini:

'Mfano wa kuigwa kuwa mapenzi hayana macho! Mapenzi hayana Umri na Mapenzi ni Mapenzi tu hayalazimishwi na wala hayana vita wala ugomvi.....Mapenzi ni Natural thing ukilazimisha tu ukaingiza Unnatural basi unaharibu....Mapenzi yanatakiwa kuwa Mapenzi tu sio mara washabiki mara wapambe mara team pwanya road hayo sio mapenzi...na kukosea sio kosa ila kurudia kosa.....people kuna somo hapa la kujifunza kuhusu LOVE ukiwa kwenye mapenzi lazima uwe mtulivu uwe na subra na uwe mstaarabu na utulie....badala ya kupanda Mahindi na kutegemea kuvuna gademu Mihogo sheria ya maisha ni moja tu TUNAVUNA TULICHOPANDA.......I mean mwanamke wa maana tunamjua kwa kuwangalia marafiki zake wa karibu kwanza....I mean marafiki zako wote malaya hapa mjini na wengine malaya wanajiuza India hakuna hata mmoja mwenye serious relationship au ndoa si tunaruka ndege wa rangi moja! UKIPATA AJALI MAANA YAKE ULIKUWA UNAENDESHA KWA KASI SANA NA ULIKUWA HUJAWAHI KUPATA AJALI SASA UMEPATA AJALI JIFUNZE UBADILIKE WACHANA NA WAPAMBE MBURULAZZZZ'
 hahahaha U know This is Le Mutuz The King of All Bongo Social Media Network kuna mwenye gademu tatizo huko? HAHAHAHAHA U KNOW! - le Mutuz

Haya Je Hapo Jiwe la Gizani Limemlenga Nani?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KWELI WEWE NI MBURURAZZZZ, UNAMPIGIA WEMA MAFUMBO KAMA MNASHEA MABWANA? MI DUME MENGINE KAMA MIJIKE TUU. WACHA KUJIPENDEKEZA HANITHI MKUBWA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaani ni booonge ya mbururaaa kweli huyu mzee hajitambui jmn cjui yukoje fyuuuu anampiga wema madongo ameckia anamtamani huyo domo hovyoooo

      Delete
    2. na we Acha nyege za kuku hizo, katajwa huyo Malaya wenu WEMA kwani mpaka uanze kubwatuka na limdomo likubwa ka Mkudu wa Mamba

      Delete
  2. kwani wewe una mke oohh nisahau mkeo ni Sinta mlozaa watoto wa box. mtaumwa sana mwaka huu na India mtakwenda sana.

    ReplyDelete
  3. kamwambie kuchumwenzio Almasi aache kutafuta kiki kama jike.

    ReplyDelete
  4. Ama kweli nyani haoni kundule!! Mwacheni Wema jamani mweee!!

    ReplyDelete
  5. Kasemaukweli jamani aunanyie ndio walewale

    ReplyDelete
  6. HUHUUUUUUUUUUUU!!!! Nakupenda Lemutuz eti " le gademu muhogo" hahaaaaaaaa hakuna mwenye le gademu tatizo, nina imani ujumbe umewafikia le gademu mabebez wooote japo watasonya kimyakimya u know!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahaaa na wakuwache le mutuzzzz! Umesema ukweli huyo wema si mwanamke

      Delete
    2. Haaaahaaaa upo juu le mutezzzz umelongaaa ukweli huyo c mwanamke

      Delete
  7. na wewe na huyo Le mburarazzz ni walewale mnatamani kuishi maisha ya Wema. wapiiii mtayaota kila cku.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha usenge weee kumamako. Nani anatamani maisha ya kuvua chupi na ku study aina mblix2 za mboo? Mfyuuuu malaya mchafu ww kama huyo Wema unaemfagilia. Eti maisha kama ya Wema. Kwa kifupi maisha yake yako wazi:
      1.Kutombwa bure 2.Kuiba waume za watu. 3. Kugombania wanaume hata kama kishaachana nao. Hata ww leo hii ukilala na domo atakuchukia.
      4. Kuhongwa vitu halafu kunyang'anywa. 5. Kuishi nyumba ya kupanga mpaka leo hii.Mengine malizia mwanyewe, Malaya mbwa weee.Nenda kwa Wema mkajambiane mfyeeee

      Delete
  8. le mutuz kasema kweli tupu,MTU anayepingana nae ujue imemgusa kwakuwa nae ndio yupo kwenye hilo kundi la halo Malaya,huwezi ukawa na marafiki wachawi halafu na wewe usiwe mchawi,achane ujinga was team nani,zingatia ujumbe halafu utafakari

    ReplyDelete
  9. le mutuz kasema kweli tupu,MTU anayepingana nae ujue imemgusa kwakuwa nae ndio yupo kwenye hilo kundi la halo Malaya,huwezi ukawa na marafiki wachawi halafu na wewe usiwe mchawi,achane ujinga was team nani,zingatia ujumbe halafu utafakari

    ReplyDelete
  10. Hivi le mburulaz unaweza kumpiga kijembe wema wakati wewe mwenyewe zero, mahusiano yamekushinda, mke kakushinda hata ma girl friends wamekushinda wewe nawe ni mtu wa kutoa ushauri???

    ReplyDelete
  11. hata wewe iko kwenye kundi hilo hilo la umalaya.

    ReplyDelete
  12. Tanzania malaya ni huyo tu?mtampaisha sana either kwa ubaya au kwa mema.hata idd amin,hitler na osama walivuma.kwani mfano wa mke mwema ni huyo tu?mmemaindi ile mbaya

    ReplyDelete
  13. le gademu mbebizz wa le mutuz le msomizz anasomea mastazzz kwani kaishiazz wapiz hahahahahazzz anasemea ze lowzzz hahaha duuuzzz amemchokaz le mbururulazz gademuzz hubby lol

    ReplyDelete
  14. hamna jipya,mmekariri tu.mme mwema naye?upuuzi tu.

    ReplyDelete
  15. ukitajwatajwa ujue unapendwa,piga kimya mwana,rekebisha kasoro na kero ndogondogo GO AHEAD.go go go go gooooooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  16. ukitajwatajwa ujue unapendwa mnoooo,piga kimya,rekebisha,songa mbele.go go go goooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  17. Lemtuz nikwambie you are old for all this shit. Kikweli huna akili hata moja kichwani mwako ni nani mzee wa umri wako anayeshinda kutwa kucha kuchamba watu inaonyesha wazi kuwa huna akili wahenga walisema debe tupu haliachi kutika please mind your own business, umri wako haufai kwa unayoyafanya is pit for your family.

    ReplyDelete
  18. Je wewe unayepiga picha na kila mwanamke je tukuite kahaba mwanamme? Naomba kujua hivi huyu mzee ana mke na watoto jamani? ? Kama anao pole zao.anastahili kupelekwa milembe kwa vichaa i don't think he is normal in his head

    ReplyDelete
  19. hvi mwanaume mwenye akili timamu anaweza kupoteza mda wake kwa ajili ya wema msemge huyu

    ReplyDelete

Top Post Ad