Muuza Mishikaki Maarufu Temeke Stand Apata Kichapo Baada ya Kukutwa Anauza Mishikaki ya Nyama ya Paka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muuuza mishikaki maarufu temeke stand ya mabasi anaitwa Said mishikaki amekamatwa jana na nyama ya paka jana akiwa anaitengeneza kwa ajili ya Kuchoma Mishikaki..Wananchi wenye hasira kali walimshushia kipigo cha haja kwa hasira za kulishwa nyama ya paka bila kujua.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. DAH KAZI KWELI KWELI JAMANI MUACHE KULA VILE VIMISHIKAKI VYA BARABARA SIO PAKA TU MTAKULA HATA NYOKA MBWA NK

    ReplyDelete
  2. fursa hizo mamae ndo mambo ya mjini

    ReplyDelete
  3. i just new it from the very beginning... nyama inauzwa shilingi 100? bei ya miaka ya tisini, nyama zote za mia huwa na sifa moja nayo ni wingi wa mafuta ya unono! huyo ni mmoja kati ya wauzaji...

    ReplyDelete
  4. Entrepreneurship, vijana wanajiajiri tulieni mnapaswa kuwaunga mkono vijana kwa kujiajiri kama hivyo. Hahahaaaaa

    ReplyDelete
  5. Hata mishikaki ya kiti moto waweza weka tu hawa watu, angalau wenzao wengine hawatumii, ali mradi kwao ni mslahi yao, wangalie sana hivi vitu hawa watu waweza lisha wenzao kwani wanajali

    ReplyDelete
  6. Duuuuu....atanyama za binadamu labda zimesha wayi kuuzwa . Kuweni makini sana. Chakula bola ni cha nyumbani tu. God bless Tanzania😭

    ReplyDelete
  7. Jaman ajira zenyewe ndo kama ivyo tena. Mwachen kijana ajiongeze, ila anachotakiwa kufanya ni kuweka katangazo kama tunauza nyama ya paka, ss anaekula atakula na asyekula bas, maana kuna watu wanakula

    ReplyDelete
  8. mbona inasemekana ameonewa tu.....madaktari wameipima iyo nyama na kugundilika ni ng'ombe na paka waliekuta ni mzima hajachinjwa aliagizwa na ndugu yake ampelekee paka uyo kwa ajir ya panya kwao....wananchi somtimes wanapenda kujichukulia hatua mkonon....wiki 2 zilizo pita walimuua kijana tuna mfaam wakimsikizia panya road kisa alienda kuwadai cm yake...cjui kwann haki haitendek.

    ReplyDelete
  9. Ukiuliza vipi situation ya huko bongo unajibiwa kuwa huku siku hizi kuna kika kitu kumbe ni minorities wanao kula hao wa kuitwa bata mojorities wana suffer ili kuikabiri hali hiyo ngumu ya kimaisha watu wanabuni biashara kama hizo ili mru aweze ku survive and who's to blame?

    ReplyDelete
  10. We anon hapo juu. Hee kumbe wamemuonea kijana wa watu, looh pole sana, hii Tanzania hii. yaani viongozi ndio wenyewe nchi hii. wakina walala hoii, kila kitu ndio hivyo tena, ata kama ujaiba utambiwa umeiba, lakini huko madarakani hata waibe vip wao wasafi tu, yaani ni uonezi, onezi tu. hamna tofauti na enzi hizo za utumwa katika bara hili

    ReplyDelete
  11. Mnakubaliana na usemi wa Mchonga aliokuwa akiusemaga"UKOLONI MAMBO LEO"Huo ndio wanaotendewa wabongo na hao viongozi wao wenye tamaa ya utajiri bila kufanya kazi

    ReplyDelete

Top Post Ad