Ray C Achafukwa Awafungukia Team Wema 'Waende zao Wasituletee Shobo Hapa Team Ushuzi Team Njegere'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kitendo cha Ray C Kumshauri Diamond Amuoe Zari the Boss Lady Kupitia Mtandao wa Instagram Watu mbali mbali ambao ni mashabiki wa Wema Walianza Mtukana Ray C kwa Vijimaneno vya Hapa na pale  Kitu Ambacho Ray C hakukipenda na Kuamua Kuwashukia na Kuwapa Soma kama ifuatavyo :

'Waende zao Wasituletee Shobo Hapa Team Ushuzi Team Njegere, I dont give Fuc.kin Care!mi mwenyewe nimetoka lutindi! wanajifanya vichaa simu zetu vidole vyetu vocha tunanunua wenyewe halafu eti tuogope kucomment kwa msanii mwenzetu eti kisa wao hawapendi kwani wameninunulia simu au siwezi nyimwa Uhuru wa simu yangu kwa sababu ya wajinga wasiosoma! MTU mwenye kukaa insta masaa 24 huyo hana kazi ! wafanya insta kama kariakoo....Mnaojifanya mnajua kutukana wekeni sura zenu tuwaone.......' Ray C
--------
In three words I can sum up everything I've learned about life: it goes on.
Read more at 
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WAAMBIE HAO BANA WAMEZIDI SANA!!!!

    ReplyDelete
  2. aolewe yeye kwanza, rc na maunga yake-

    ReplyDelete
  3. Wanatuletea shombo za chupi na sura ya wema kakomaa kama mamantilie ana tabasamu LA nyoka kobra

    ReplyDelete
  4. huyo rc, aangalie maisha yake kwanza, hana bwana wa kumpenda anajipendekeza kwa Domo, oops! kaacha kweli unga? au bado ukokumkichwa.

    ReplyDelete
  5. Namuunga mkono ray c hawa teamsikusoma nivibaraka wanashindwa kumchana ukweli huyo shoga yao kua uzee haukombali nae atulie aache umalaya wake

    ReplyDelete
  6. Haya kuhusu kama kaacha unga la tatitizo la sisi watanzania hatupendi kuambiwa ukweli Kwani Ray c akisema diamond amwoe Zari hapo kakosea nini kwani Zari si binadamu enyi team ushuzi achani ujinga usiyo na maana fanyanyi yenu mwenzenu wema uko busy kutafuta pesa nyingi mnajifanya mnakuwa mna mprotect while hamna chochote sama ray c achana na hawa team kajamba nani????

    ReplyDelete
  7. Ray c alikuwaambia ana bwana mtafutie basi.

    ReplyDelete
  8. Ray c waambie ukweli ss hatuna team ujinga tunawachana tu hasa hawa wenye wivu usio wahusu

    ReplyDelete
  9. TEAM WEMA WANAABUDU KUWA DUDU YA DIAMOND ILIUMBWA KWA AJILI YA WEMA TU HE HE E HE HE EH EH EH

    ReplyDelete

Top Post Ad