Team Wema Wamlipua Zari The Lady Boss kwa Kurudia Nguo Moja Kila Wakati Katika Mitoko Tofauti

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Page moja huko instagram inayojiita Wemaselfies Wamemlipua Zari kwa Kusema Anarudia nguo moja kila wakati katika mitoko tofauti ....Jisomee hapa:

'Hivi hiyi tyt hayibadilishwi? Khaaa jamani sasa Bosslady gani anavaa the same thing kila siku? Wewe mama uliingiana gia ya 5 sasa utatoka without no gia hivi nyiye Domo mnamuelewe kweli? 
Mie mnisaidie nikwanini akiwa na mwanamke lazima huo mwanamke ajisahau Zari stop your stupidity nakuona unavyo comment kwa lemapumbuz ww jobless don't try os oooh abeg and nyiye team zari soon mtaanza kampeni ya bring back zari if not ohoooo mamkubwa kapotea yanii zari kwisha no big big money no job no nothing ww acha kufatilia team wema plzzz ooooh. May Allah bless my @wemasepetu katika kila kituu ufanyacho fanya asante munguu kuona kakuamsha mapema kwenye usingizi najua wengine hivi walipo wanapanga tufanye nini ili tumuharibie wema but nothing to worry mungu yupo na ww @wemasepetu wanguu we love u and wish u all the best na sikuu utaachiya hiyo kazi kunawatuu watachukuwa likizo instaa we keep praying for u @wemasepetu'

Je na wewe Unamwambiaje Zari Kuhusu Kuvaa Nguo moja Kila Wakati?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani mi naona hawa wanajiita team Wema ni matako kwelikweli! Hivi huyu Wema si kichaa huyu yaani kimsingi wema hatoolewa kamwe coz kichwani hamna kitu ni matope tuu. Hiyo tite inawahusu nini. Watu wanaangalia wanatengeneza pesa kiasi gani nyie ngozi za matako mmekalia eti flani kavaa nini. Pimbi kweli nyie.....mtakoma domo ndo keshakolea pumbafuuuuu mtakoma kama vipi kunyweni Hcl...

    ReplyDelete
  2. kumbe mwamtumbulia sana macho Zari kila kukicha???????? hamna kazi ya kufanya??wivu wenu tu unawasumbua!!! mambo mengine ni upuuzi tu mnaandika!!!

    ReplyDelete
  3. utakoma mwenyewe hao ni team na siwema jangaliew kwanza

    ReplyDelete
  4. kwani we wema mwanaume ni huyo dai tu. hebu tulia utapata mwanamume mwingine mpenzi.. ACHANA NA DAI.

    ReplyDelete
  5. kwa mliokua hamjaelewa alosema ivo ni fan wa wema tu na si wema mwenyewe wema amesha move on kitambo ndio mana alimwacha dai alijipanga kabla she left dai sasa hapa ni fans ndio hawajamove one tena baadhi yao lkn mana mi ni fan wa wema walipoachana niumia jinsi nilivoipenda couple ile ila kiukweli kabisa nimemuelewa wema na dai haikupangwa kua na ndio ishakuwaa, sasa basi kuna fans wa dai pia iliwaumiza kuona wema ni msaliti wamemchukia, kuna fans wa wakajjala wote wamejiunga kumshambulia wema na fans wa wema nao wanajulikana vichaa so ndio chizi kapewa rungu wengi wa fans wa zari ni wale wanaomchukia wema wasiopenda mashauzi yake so wanaona amepata kiboko yake huenda kweli. ushauri wangu basi mi ningependelea hizi team zingeacha kufatiliana kila moja angedeal na mtu wake anaempenda sifiaaaa weee mpaka vidole vivimbe kwenye page ya fan wako badala ya haya yanayotendeka kwa kweli tunaonekana watz ni mburura kwenye mambo ya kipuuzi tukipewa mambo ya maana tujadili hatuna tunachojua watz wenzangu tusipoteze mda kwenye mambo ya haya ya kupita wengine wanashinda kwenye social media kutwa kutafuta umbeya una access na internet itumie vizuri kwa kujifunza bora poteza mda unajifunza vitu vipya badala kulumbana.. pole kwa gazeti japo halina mana ila nishawakilisha

    ReplyDelete

Top Post Ad