Staili Mpya ya Nywele Aliyoweka Zari Yazua Vimaneno Instagram Wengi Wadai Anamuiga Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Udaku Special Blog
Baada ya Mrembo Zari The Lady Boss kuweka Picha Instagram akiwa na mtindo mpya wa nywele Team Wema Wameibuka na jambo na kusema Anamuiga boss wao Wema Sepetu ..Embu Soma Team Wema Walivyochachamaa..

malkia_wa_insta
Nasikia umemuona madame kashonea nn kapendeza ona sasa unachekwa nywele wamekubundka umekua Kama kibanda cha makuti
Kuiga IGA kubaya Leo tunakucheka ad wenye streess zetu pyeeeeee mama mkubwa tafuta fassion yako

dougiemasta16
zari zari bosslady banange hiv nyie watanzania mnamatatizo gani bibi kaenda zake saloon mwenye kashonea nywele zake vizur zimekaa utasema fagio la nyasi kapendeeza sijapata kuona...mnamcheka wakt mwenyewe kamuonesha mwenye saloon picha ya wema kamwambia anataka style kama hii....sasa nyie kwann mnamcheka...mm mnanikela kwel mala mumwambie nywele kama kofia la boda boda mala kama uyoga wengine mnamwambia kama ganda la chungwa kawakoseeni nini lakin haahhahahah mbona wakorofi nyie watanzania leo nitakuja na bakora nitawachapa mmoja badala ya mwengine haswa wewe @wemaselfies na @shoga_akeeeeee nyie sinimewaambia muwe na adabu kwa bibi yenu eeh kwann hamsikii au mpaka awaachie radhi shauri yenu mtablockiwa ahhajajaahha shauri yenu mwacheni UN summit kasuka amuoneshe baby sasa mpunguze wivu wenu wabongo mnamuonea wivu bibi matende mwenyewe anataka kushindana nanyie aonekane kijana nyie mnamcheka afuu nyie vitoto vya form 1 kwann hamna adabu kwanza shule inagunguliwa lini muondoke tushawachoka ahahhahaha mwacheni mama wa watoto 5

dorahmugendi
Hahahahaaaa rafik.yng nimecheka sana mpaka nimepunguza stress...hii style hapana hata bure sishoni muachie bibi tu....@hunphakarigo

wemasepetu.ommydimpoz
Hhihiiihiii zaituni buanaaa nini sasa icho alichoek kumkichwa heheheheheeh jaman hhh kma ganda la chungwa yan khaaa wemq kapendeza hatar mweee zaitun sjui tuite makuti style


Je Wewe unaionaje Hiyo Staili?

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyie acheni wivu na njaa zenu weunavyo fikiri ze boss anawezamwegezea mfamaji sepetu tafteni kingine nyie teammajungu

    ReplyDelete
  2. Zari anaumri mkubwa kushinda wema,lakini huyu dada bado mzuri sn weacha nasibu apagawe

    ReplyDelete
  3. Wema wenu alipagawa paka alijipendekeza kwa mume wazari ilajamaa anamchumba mwingine bomba ile mbaya mdada akabaki anatia huruma km fisi aliekosa mfupa,anajirahisisha ilembaya huyu sepetu

    ReplyDelete
  4. Huwez fananisha ngoz ya zari Na yule chawote yaan alivyoharibika mwili Na madonda mmmmh mpka anaogopesha zari kuwa Na Dai c zali ila Ni halali coz love start anywhere nakukubali saaaaaaaaaaaaana

    ReplyDelete
  5. KHA KUMBE KIKONGWE MASHAVU YAMESHUKA HVYO.......MHHH KAZI KWELI KWELI NASIKIA CHURURU YA BIBI UNAKUAGA TAMU....HAAAA HAAA NAPITA TU

    ReplyDelete
  6. Team wema jaribuni kuwacha shindana na zari jaribuni kumsaidia wema kimawazo at least ajaribu kufikiria what to do with her life mweziye tayari anavyo nyinyi badala yakumshauri mnampa kichwa hamwoni mnampoteza mwenzenu mnashakia zari hivi zari vile mwenzenu za maisha yake yanaendelea mbele biashara zake zinendelea nyinyi kazi yenu kutafuta kiki isiyo ya maana wengi wenu usikute. Hata hamna lolote zaidi ya kushinda IG kuangalilia zari na maisha yake na diamond mnasahau wema ndiye aliyemwacha diamond sasa diamond kajipatia toto zuri mnaanza kuleta wivu wa kijinga mwacheni zari siku akiachana na diamond nyinyi ndiyo mtaonekana wajinga maanake huyo madam wenu wema atamtafuta zari watakuwa marafiki nanyiye mtaonekana kama wajinga mpo mpaka hapo mjifunze mlisema Penny yako wapi wema akamrudia sasa wako marafiki hamjakoma tu.

    ReplyDelete
  7. Kweli mdau nakubaliana na wewe 100%Zari mzuri kwa umri aliyokuwa nao acha chibu ajimwage team wema subirini wema azae watoto. Watu muone kama atafanana na zari au

    ReplyDelete
  8. tEAM WEMA SHIDA ELIMU NI NDOGO,,,WIVU NA USHAMBA SIKU ZOTE NI MZIGO WADAU,,,,STYLE YA ZARI IS VERY UNIQUE LKN WASENGE KWA KUTOELEWA WANAANZA MARA OOOOH BIBI MARA OOOOH CJUI KIMEPOROMOKA KUMBE NI USHAMBA POOOOOLE TeaME WEMA a.k.a team cha wote

    ReplyDelete
  9. Hahahahahaaaaa uwiiii siko team yoyote lakini kiukweli hiyo style ya nywele inachekesha. Na kama atakuwa ameenda Saluni za Bongo watakuwa wamemfanyizia makusudi dada wa watu, masikini ya Mungu kichwani AMEKUWA KAMA KAOTESHA UYOGA. Hahahahahahaaaaaa uwiiiiii!

    ReplyDelete
  10. nakubaliana na mdau hapo juuu.....

    ReplyDelete
  11. Mdau hapo juu unacheka kipi cha kuchekeesha unasema nywele za Zari kama uyoga kauchume. Basi wivu unakusumbua tuonyeshe za kwako silizokaa kama katani😄

    ReplyDelete
  12. Mdau nakubaliana na wewe aonyeshe za kwake kama katani 😄😄

    ReplyDelete
  13. Kwani Wema SI ndo kamwacha Dai sasa mwamshambulia dada wa watu kawakosea nini?

    ReplyDelete
    Replies
    1. SEMA MDAU!! HATA MIYE NASHANGAAA!! WEMA MWENYEWE NDO ALIMWACHA DIAMOND SASA INAKUAJE MNAMSHAMBULIA DADA WA WATU?? ZARI WEWE WALA USIWAJALI HAO WANA WIVU HAOOOOOOOOO WACHONGANISHI HAOOOOOOOOO.!!!

      Delete

Top Post Ad