Tazama Ujauzito wa Zari Ulivyokuwa, Aanza Kuvaa Nguo za Waja Wazito

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Siku zilizosalia za Diamond kuitwa ‘baba’ zinaendelea kuyoyoma. Zari The Bosslady, mchumba wake staa huyo wa ‘Mdogo Mdogo’ anayetarajia kumpa mtoto wake wa kwanza ameendelea kuonekana kama wasemavyo waingereza ‘very pregnant’.
Mrembo huyo wa Uganda ameshare picha kwenye ukurasa wake wa Facebook inayomuonesha jinsi kitumbo chake kinavyozidi kuwa kikubwa. Jionee picha zake zaidi hapo chini.





-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mi naona huyo zari siku zote minguo yake hiyhiyo kama anaenda beach, zari hajui kuvaa kwanza, boss lady my ass. She should find designer for herself coz she understand nothing this girl when it coming about fashion, by the way she is old pia, she should go to Ivon don ask money for making surgey again coz kiuno kipana sana mana hata huyo dimond akigusa kiuno mkono unaishia mgongoni. Halafu ile miguu yake sio ya bia million nahisi anaugonjwa wa miguu, angalieni kuna watu wenye miguu bhana, kina lulu Michael.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wivu utakuua pole weee!!! Unatoa sababu zisizo na msingi mjinga weee!! Kama vp kanywe sumuuu!!!!

      Delete
    2. WIVU WAKO UNAONGEA UPUUZI TU

      Delete
    3. Hahahahaaaaa khaaaa yaani anakuumiza Zarinah wawatu mpaka unajikana mwenyewe. Yaani unabishana na unachokiona buhahahahaaa

      Delete
    4. Dogiemasta kiinglishi chenyewe hujui eti when it coming about fashion. mweeeeh

      Delete
  2. Anonymous 10:21 wivu unakusumbua mtoto wa kike, weka picha yako tukuone kisha uanze kukosoa wenzako.

    ReplyDelete
  3. Jealous,go and find the one you think she has being born especially for you and yourself

    ReplyDelete
  4. Huyo mpuuzi alie comment hapo mwanzo.ni mjinga wa.mwisho ambae ni dhahiri inaonekana ana sura na roho mbaya. Tumbo la mimba na hizo kasoro zote ulizotoa zinahusiana nini. Go get a lige bitch and by the way ni Ivan sio Ivon stupid whore..........

    ReplyDelete
  5. Wivu umekujaa kumkosoa zari..au kwa vile humfikii kwa lolote.mtangoja saaanaaa ila kwa zari Chibu kafika.Mtakufa siku sii zenu kwa roho mbaya.zari atamzalia chibu...mwaka huu mtakula ndimu hadi mkomae..chibu na zari forever

    ReplyDelete
  6. this girl when it coming about fashion huu c uzungu wenye hawaja soma utawadanganya dogo

    ReplyDelete
  7. Hater utamjua tu wala hutusumbui kajambe mbele huko anony 10:21

    ReplyDelete
  8. Wema safari hii imekula kwako mazima

    ReplyDelete
  9. Mungu amsaidie azae salama maana hao majilasssss

    ReplyDelete
  10. DIAMOND MCHUNGE SANA ZARI MAANA WATU NAONA WANATAKA ASIZAE WALIVYOMKOMALIA?? !!! take care!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad