Team Zari Walipa Mapigo Haya Sasa Picha za Wema Sepetu za Kurudia Nguo Zawekwa Hadharani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya Team Wema Sepetu Kuweka Picha Mtandaoni zikionyesha Zari kuwa huwa anarudia nguo moja mara kwa mara na kumponda na Kusema ni Lady boss wa Aina Gani ..Team Zari na wenyewe wameibua Picha mbali mbali za Wema Sepetu Zikionyesha Amerudia Nguo Kadhaa Katika Matukio Tofauti Umbu Jionee .....

Una Maoni Gani Kuhusu Hili na hizi Team Mbili ?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wacha tuwe tunacheka tuuu. Huhuuuuuuuu makubwaaaa ya watanzania mweeeeeee!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli mdau,ni kucheka tu,wee ukiona umeboreka pita mitandaoni uchekeeeeeeeeeeeee

      Delete
  2. Mi mwenzenu cjui ushamba nilikuwa cjui km Nguo huwa hazitakiwi kurudia ahaaahaaa hii kali kwahiyo kumbe nguo ikivaliwa ndo kusema inakuwaje sasa? Ndo unatakiwa kuchoma au kutupa mmmh c wengine yatatushindwa basi tutachekwa wengi huu mwaka.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we si DIVA ndio mana wa kawaida tu ndio mana so endelea ivo ivo uko njia nzuri wala usihofu coz no one will notice u ila ukijitia udiva utachunguzwaa mpaka vyupi chezea mjini weye!

      Delete
  3. ujiga tupu ukimpenda mtu ndo umuseme mwingine kwa faida ipi

    ReplyDelete
  4. MALAYA WOTE TUU HAO

    ReplyDelete

Top Post Ad