Baada ya Mahojiano, Gwajima Aachiwa kwa Dhamana, Kwenye Hii Kesi Nani Mlalamikaji ?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Taarifa zimeenea kuwa baada ya Kutoka hospitalini Gwajima alikwenda moja kwa moja Kituo cha polisi Ostabey kwa ajili ya kumaliza mahojiano yake na Polisi kuhusu kumtukana Askofu Pengo...Baada ya mahojiano Askofu Gwajima Ameachiwa Huru kwa Dhamana....

Najiuliza kwa Sauti:
Katika Hili Sakata ni Nani Mlalamikaji ? Wakati kila mkubwa akijidai hausiki kwenye sakata hili
Je Pengo Amemshitaki ?


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HUYU GWAJIMA KAZIDI KUROPOKA SANA ANATUKANA WATU OVYO WACHA WALITIE ADABU

    ReplyDelete
  2. Wewe kwani huwajui polisi wa bongo washapiga mihela kuingia bure kutoka na ela

    ReplyDelete
  3. Acha unafiki kwani hujui kumtukana mtu hadharani ni jinai? Na mlalamikaji anakuwa jamhuri.

    ReplyDelete
  4. Acha unafiki kwani hujui kumtukana mtu hadharani ni jinai? Na mlalamikaji anakuwa jamhuri.

    ReplyDelete
  5. Aende shule huyo muandishi anaye uliza swali la kibwege,Lugha yoyote ya matusi ni kosa hata mlalamikaji asipo kushitaki jamuhuri inaweza kukushitaki,maswali ya kibwege halafu unajiita nwandishi wa habari.

    ReplyDelete
  6. Washkaji, acheni kumsakama msanii wangu, asije akazimia tena bireee!

    ReplyDelete
  7. Mpuuzi tusi? Ukome tusi? huna akili tusi? Mpumbavu tusi? wahuni tu nyie

    ReplyDelete

Top Post Ad