AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Najiuliza kwa Sauti:
Katika Hili Sakata ni Nani Mlalamikaji ? Wakati kila mkubwa akijidai hausiki kwenye sakata hili
Je Pengo Amemshitaki ?
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
HUYU GWAJIMA KAZIDI KUROPOKA SANA ANATUKANA WATU OVYO WACHA WALITIE ADABU
ReplyDeleteWewe kwani huwajui polisi wa bongo washapiga mihela kuingia bure kutoka na ela
ReplyDeleteAcha unafiki kwani hujui kumtukana mtu hadharani ni jinai? Na mlalamikaji anakuwa jamhuri.
ReplyDeleteAcha unafiki kwani hujui kumtukana mtu hadharani ni jinai? Na mlalamikaji anakuwa jamhuri.
ReplyDeleteAende shule huyo muandishi anaye uliza swali la kibwege,Lugha yoyote ya matusi ni kosa hata mlalamikaji asipo kushitaki jamuhuri inaweza kukushitaki,maswali ya kibwege halafu unajiita nwandishi wa habari.
ReplyDeleteWashkaji, acheni kumsakama msanii wangu, asije akazimia tena bireee!
ReplyDeleteMpuuzi tusi? Ukome tusi? huna akili tusi? Mpumbavu tusi? wahuni tu nyie
ReplyDelete