Diamond atajwa kuwania kipengele cha ‘African Artiste of The Year’ kwenye Ghana Music Awards

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za 16 za Vodafone Ghana Music (Awards), VGMA 2015.

Majina ya wasanii watakaowania tuzo hizo yametajwa kwenye hoteli ya La Palm Royal Beach Hotel jijini Accra, jana Ijumaa, February 27.

Diamond ametajwa kuwania kipengele cha msanii bora wa Afrika (African Artiste of The Year).

Wasanii wengine watakaowania kipengele hicho ni pamoja na Tiwa Savage (Nigeria),AKA (South Africa), Don Jazzy & The Mavin Group, Patoranking (Nigeria) na Yemi Alade (Nigeria).

Mshindi kwenye kipengele hicho atapatikana kwa 40% za kura za wananchi, 30% ya kura za Academy na asilimia 30 ya kura za Board.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tushamchoka na kiki zake za kitandale.

    ReplyDelete
  2. Apewe na tunzo za kubadilisha wanawake ndo zitamfaa sana.

    ReplyDelete
  3. Nyie hapo huu wajinga kwann ucmkubal m2 kama anaweza

    ReplyDelete
  4. mjenga wewe na huyo Bakuli mwanahizaya usojua kutafautisha kiki na star.

    ReplyDelete
  5. MJINGA MAMA YAKO NA UKOO WAKO, HAYAWANI MKUBWA WEWE NA HUYO DOMO BAKULI.

    ReplyDelete
  6. KATAJWA ( KEY WORD ).....Thats about it.

    ReplyDelete
  7. Tell them chuki ya nini wivu je jamani watanzania tuache roho za kwa nini.tumpongeze Kwani ndiye anayeipandisha bendera yetu go diamond wakuwache mara mia

    ReplyDelete
  8. WIVU MTUPU!!! BIG UP DIAMOND!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad