AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Majina ya wasanii watakaowania tuzo hizo yametajwa kwenye hoteli ya La Palm Royal Beach Hotel jijini Accra, jana Ijumaa, February 27.
Diamond ametajwa kuwania kipengele cha msanii bora wa Afrika (African Artiste of The Year).
Wasanii wengine watakaowania kipengele hicho ni pamoja na Tiwa Savage (Nigeria),AKA (South Africa), Don Jazzy & The Mavin Group, Patoranking (Nigeria) na Yemi Alade (Nigeria).
Mshindi kwenye kipengele hicho atapatikana kwa 40% za kura za wananchi, 30% ya kura za Academy na asilimia 30 ya kura za Board.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
tushamchoka na kiki zake za kitandale.
ReplyDeleteApewe na tunzo za kubadilisha wanawake ndo zitamfaa sana.
ReplyDeleteNyie hapo huu wajinga kwann ucmkubal m2 kama anaweza
ReplyDeletemjenga wewe na huyo Bakuli mwanahizaya usojua kutafautisha kiki na star.
ReplyDeleteMJINGA MAMA YAKO NA UKOO WAKO, HAYAWANI MKUBWA WEWE NA HUYO DOMO BAKULI.
ReplyDeleteKATAJWA ( KEY WORD ).....Thats about it.
ReplyDeleteTell them chuki ya nini wivu je jamani watanzania tuache roho za kwa nini.tumpongeze Kwani ndiye anayeipandisha bendera yetu go diamond wakuwache mara mia
ReplyDeleteWIVU MTUPU!!! BIG UP DIAMOND!!!!!!!!!!
ReplyDelete