Diamond Platnumz Afurahi Ujauzito wa Zari Mpaka Ameanza Kupata Mashavu Dodo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond na Zari
Unaambiwa kwa sasa katika Wanaume wenye Furaha Bongo Basi huwezi kumwacha nyuma Mwanamuziki Diamond, Furaha hiyo inatokana na Ujauzito aliompa Mrembo Zari , Diamond ameweka picha hiyo hapo kwenye ukurasa wake wa facebook akionyesha furaha yake huku akionekana kunawiri na kutoka shavu dodo........


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HONGERA!! NICE COUPLE !!!

    ReplyDelete
  2. YES!! BATA KITU ROHO INAPENDA!!!

    ReplyDelete
  3. Kitatolew tu icho akina mda mrefu from now

    ReplyDelete
    Replies
    1. USHINDWE NA ULEGEEE!!! KWANINI UNAWAOMBEA MABAYA??????????

      Delete
  4. DOMO EEEH....MUOE BASI SIO KUCHUMA MIZAMBI ISO SABABU NA MUNGU ATAKUZIDISHIA BARQA

    ReplyDelete
  5. Ndoa muhimu sio kuonyeshana kwenye magazeti kila kukicha

    ReplyDelete
  6. Ndoa muhimu sio kuonyeshana kwenye magazeti kila kukicha

    ReplyDelete
  7. awww alifanya uwamuzi wa busara kumbe kukubali kuzaa na mondi jamani baby girl on the way inshallah, pengine the don sperm zake ni za kiumeni tu uwwwii tuletee binti mond uyo dada surely mama mond anasubiri wajukuu kwa hamu Allah amponye maradhi yake ajilie matunda yake, kuzaa raha jamani happy for them

    ReplyDelete

Top Post Ad