Lady Jay Dee Aweka Wazi na Kusema 'Mimi ni Team Kiba'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamuziki Lady Jay Dee 
Kutoka kwenye Account ya Instagram, Mwanadada Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee (Komando Jide) ameamua kutangaza rasmi yeye ni shabiki wa msanii Ali Kiba. Hii inakuja mara baada ya Ali Kiba kumsupport Jide jana usiku katika show yake bila masharti yeyote huku Ali Kiba akipata shangwe kali kutoka kwa mashabiki.. Lady jay Dee kaandika hivi:

..Mdogo wangu Ali Kiba
Natoa shukrani zangu za pekee kwako
Asante kwa kuteka show..
Sina cha kuelezea
Halikuwa funiko lile, bali
Labda niseme lilikuwa ni Zege
Unajua nini maana ya Shukrani ....
Sijawahi kukutendea makubwa ya ajabu
Ila tendo la kuamua ku support ur sister
Bila kuniwekea masharti
Ni upendo tosha
Inatosha ❤
Wengi wanaogopa
Ila umesimama
Na kuona umuhimu wangu kwako.
Katika kipindi kigumu nilichopo. I will forever love you
Keep the fire burning.
Nilikuwa
Na nitaendelea kuwa ✔
Natangaza rasmi kuwa
Mimi ni #TeamKiba
Now & Forever
Kama wewe ni TeamJide ... na bado hujawa' .... badi usisite kuwa Team Kiba
Oyoooooooooo ......
#FunikaMbaya
Next tukafanyie uwanjani sio ishu..
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aende nae huyu mkomavu unafiki tuu

    ReplyDelete
  2. Muache si uamuzi wake kwani lazima

    ReplyDelete
  3. shauri yake kwanza mbona kachelewa

    ReplyDelete

Top Post Ad