AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hiyo ni Picha ya Msichana ambayo siku ya jana imesambaa sana mitandaoni , inasemekana alipita maeneo ya Sinza akiwa amevaa kinguo kifupi ambacho kilivuta hisia za midume wakware na kuanza kumzonga zonga wakitaka kumvua kabisa kimini hicho ...huku wengine wakimchoma vidole sehemu zake za siri ..kwa bahati nzuri alitokea mtu wa boda boda na kuamua kumsaidia kwa kumpakia na kutimua mbio.......
Hii inatufundisha nini ?
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
ama kweli Sinza... kwa hiyo plate namba! sina hakika, labda nimekua mgeni nchi hii...
ReplyDeleteMC12..AEF MBONA NI NAMBA MPYA ZA PIKIPIKI HAPA TANZANIA WEWE MGENI KWA LIPI
Deletehizo ni namba mpya kwa piki piki braza kwa pande hiz za dar..sijui mikoani
DeletePole mdau. Hizo ni namba mpya za pikipiki zinazotolewa sasa hivi kwani zimetofautishwa na namba za magari. Kwa hiyo inawezekana ikawa Sinza kweli.
DeleteNamba mpya hizo za usajili we mdada au mkaka.,upo tz lkn hujui mambo yanaendaje fuatilia utaona....,angevuliwa kabisa mshenzi huyo........
ReplyDeleteMgeni kidogo kwani wewe huna habari boda boda na bajaj zimebadilishwa no?
ReplyDeleteHUYO DADA AKOME KABISA NDICHO ALICHOKUWA ANAKITAKA NGUO GANI YA KUTEMBEA NAYO HADHARANI? WANGEMBAKA KABISA ILI SIKU NYINGINE ASIRUDIE MIDADA MINGINE SIJUI IKOJE, KAZI KUJIZALILISHA TU!!!!!!!!!!!!!!!!!MFYUUUUUUUUUUUUUUUUU!
ReplyDeleteNakweli wewe ni mgeni nchi hii.......hizo ni namba mpya za usajili za bodaboda na bajaji ndugu yangu
ReplyDeleteWASHAMBA HAO MJINI SASA HIVI WATU WENGI WAMEINGIA BILA MPANGO
ReplyDeletePlate number mpya hizo za bajaj na pikipiki...sengez
ReplyDelete