Penny Apangua Tetesi za Kupata Mrithi wa Diamond, Asema Mabusu Anayopigwa na Sweddy na Kushikwa Kiuno ni Kawaida

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Diamond Platinumz, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameonekana kuwa karibu na kijana aitwae Sweddy, hali iliyoibua maswali mengi kwa mashabiki wake kuwa huenda ndo mrithi wa Diamond.

Baada ya gazeti la Ijumaa march 9 kuandika kuwa Penny amepata mrithi wa Diamond, Bongo5 iliamua kuwatafuta wote wawili Penny na Sweddy na kuzungumza nao kuhusiana na uvumi huo.

Penny ameiambia Bongo5, kuwa karibu na kijana huyo haimaanishi kuwa ni mpenzi wake.

Hahahahaha hah yakawaida haya mabusu,” alisema Penny, sisi ni washikaji, Sweddy namjua toka akiwa mdogo ndo maana unaniona naye kila sehemu,” alimalizia huku alicheka Penny.

Sweddy naye alisema kuwa Penny ni mshikaji wake huku akidai kumpiga mabusu hata hadharani ni kawaida yake na wameshazoea.

Penny ni mshikaji wangu wa muda sana, mimi nina demu wangu na yeye anajua kila kitu, haya mabusu yakawaida tu, tumeshazoea,” alisema Sweddy huku akicheka.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad