Serengeti Boy 'Nimelifaidi Sana Penzi la Jack Wolper'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siri imefichuka! Bwa’mdogo a.k.a Serengeti Boy kutoka Kundi la Makomando, Fredy Felix amesimulia namna alivyofaidi penzi la staa wa Bongo Movies, Jacqueline Walper Massawe ‘Wolper’.

Akizungumza na GlobalTV Online kwenye mahojiano maalum juzikati, dogo huyo alisema kuwa katika maisha yake ya kimapenzi hakuna mwanamke ambaye aliwahi kutoka naye na kujiachia kwa furaha kama ilivyo kwa Wolper.

“Kiukweli msichana pekee ambaye nimewahi kuwa naye katika mapenzi na kumpenda kwa dhati ni Wolper pekee.“Mara yangu ya kwanza kukutana naye ilikuwa kama ‘sapraiz’ vile (habari zinasema kwamba walikutana maeneo ya Kinondoni), alipoingia kwangu nashukuru naye alinipenda na kunifanyia kila nilichohitaji.

GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hamna cha kuandika

    ReplyDelete
  2. madogo kwa kuanika mambo wazi noma sana!

    ReplyDelete
  3. no point hapo

    ReplyDelete
  4. Kumchafulia tuu ushazoea umpate wapi wolper mxweeeeeeeee

    ReplyDelete
  5. INAWEZEKANA,WOLPER NI JINA TUU!I KNOW HER SINCE AKIWA YOUNG GIRL SHE WAS VERY CHEAP.

    ReplyDelete
  6. DOGO ANATAFUTA KIKI!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad