AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akizungumza na GlobalTV Online kwenye mahojiano maalum juzikati, dogo huyo alisema kuwa katika maisha yake ya kimapenzi hakuna mwanamke ambaye aliwahi kutoka naye na kujiachia kwa furaha kama ilivyo kwa Wolper.
“Kiukweli msichana pekee ambaye nimewahi kuwa naye katika mapenzi na kumpenda kwa dhati ni Wolper pekee.“Mara yangu ya kwanza kukutana naye ilikuwa kama ‘sapraiz’ vile (habari zinasema kwamba walikutana maeneo ya Kinondoni), alipoingia kwangu nashukuru naye alinipenda na kunifanyia kila nilichohitaji.

GPL
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
hamna cha kuandika
ReplyDeletemadogo kwa kuanika mambo wazi noma sana!
ReplyDeleteno point hapo
ReplyDeleteKumchafulia tuu ushazoea umpate wapi wolper mxweeeeeeeee
ReplyDeleteINAWEZEKANA,WOLPER NI JINA TUU!I KNOW HER SINCE AKIWA YOUNG GIRL SHE WAS VERY CHEAP.
ReplyDeleteDOGO ANATAFUTA KIKI!!!!
ReplyDelete