AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kupitia picha iliyowekwa kwenye tovuti hiyo, inayomuonesha mwanadada Wema akiwa na pete ya ndoa kidoleni anayodaiwa kuvalishwa na mchumba wake huyo ambaye wapasha habari wa hapa mjini wanadai ni yule tajiri wa Uganda - Ivan aliyekuwa mume wa mwanadada Zari ambaye kwa sasa ni mpenzi wa ex wa zamani wa Wema – Diamond Platnumz.
Wacha BongoMovie iendelee, Sisi yetu macho na masikio. Tunaisubiri ndoa hii kwa nguvu zote.
Unahisi Diamond na Zari watahudhuria kwenye harusi hii? Tupe maoni yako
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Upuuzi mtupu.......!!
ReplyDeletePole Ivan! Wema kunguru asiyefugika huyo, kashindwa JUMBE!
ReplyDeletehaya maisha ya maigizo yanawacost wapumbavu.
ReplyDeleteuongo mtupuh!!!!!!
ReplyDeleteUPUUZI TU!!! MMEKOSA CHA KUANDIKA??
ReplyDeleteMwacheni ajiliwaze jamani viiipiiii?bado hajapata mtu(mwanaume mwenye mapenzi) wa kumshari mana hata huyo wa tetesi bado atamzingua tu mana anafanya kwaajili ta maslahi ta moyo na sio roho.,namwonea sana Wema huruma maana anahangaika kutafuta furaisha nafsi huku roho haijui ikishindwa chagua ni mtu gani sahihi wa kuwa nae.,hv mnanielewa wadau????anitafute nimshauri huyu dada maana maono niliyonayo kwake kwa staili anayoishi mwisho wake atachanganyikiwa(kuwa kichaa)tumuombeeni jamani avuke hapo......mkong'oto jaz-band....kiaina wana...,
ReplyDeleteJamaa hawezi chukua demu kama wema ambae hanamipango yamaisha zaidi yakutupia picha zake mitandaoni,pili atajizaraulisha kuanamke ambae hajielewi
ReplyDeleteWema hanasifa zakua mke muulize zari atakwambia
ReplyDelete