Zari the bosslady vs Chaggabarbie Muke ya Mganda....Hali si Shwari , Warushiana Vijembe Hatari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kumekucha instagram ni vijembe kwa kwenda mbele wanawake wenye mivuto ya kipekee zari na chagga bebe wapo ulingoni kila mmoja akijitapa kivyake sijui ndo kumgombania Ivan,mie sijui nani mchokozi ila nijuavyo tu boss lady huwa haongei ongei hadi achokozwe, ila hii ya Chagga Barbie Kujinadi Mitandaoni Anatoka na Ivan Baba Watoto wa Zari Imemuingia Kunako :

Soma Vijembe walivyokuwa wanajibishana hapa Chini:
Mukeyamganda ni Chagga barbie yule aliyewahi kuwa Girlfriend wa Prezzo na Kuachana kwa Aibu




-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MMM WENGINE HATUELEWI!!!

    ReplyDelete
  2. duuh emu weka yalivoanza kwanza ujewe mi niipitwa n now muke ya muganda yupo private hahaha ubuyu wa znz mwee

    ReplyDelete
  3. wote malaya, wanatafuta kiki tu.wako after money.

    ReplyDelete
  4. Hawa wanakoelekea watasababisha nchi za africa mashariki ziingie kwenye machafuko

    ReplyDelete
  5. Hawa wanakoelekea watasababisha nchi za africa mashariki ziingie kwenye machafuko

    ReplyDelete
  6. Hawa wanakoelekea wataleta machafuko na umwagaji damu africa mashariki

    ReplyDelete
  7. Hawa wanakoelekea wataleta machafuko na umwagaji damu africa mashariki

    ReplyDelete
  8. Yaani damu imwagike Africa mashariki kwa sababu ya hawa Malaya wasili? huyu chaga ni Malaya tu tena afadhali yeye yupo single, ila huyu mama mtu mzima anayeacha kulea watoto wake na kuangaika na Serengeti boy bongo ndiyo Malaya zaidi na anatia aibu zaidi. All in all Zari kachemka sana na atakuja jutia sana huko mbele hasa alivyojifanya kubeba na mimba ya domo akidhani kuna mtu anamkomoa kumbe anajichimbia kaburi mwenyewe. kinyaa sana

    ReplyDelete

Top Post Ad