Zitto Kabwe Ameshinda Nafasi ya Kiongozi Mkuu wa- ACT Wazalendo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hongera sana ndugu zitto zuberi kabwe kwa kujinyakulia nafasi ya kiongozi mkuu, kazi iliyoko mbele yako ni kukitangaza chama kitaifa ili uweze kuwa na wabunge na mdaiwani-octoba 2015,Hakuna kazi kubwa kama kuwa kiongozi inahitaji busara na hekima ya hali juu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa ni muda wa kufanya kazi na sio malumbano tena, katika vikao vyako usitumie neno chadema kama ulivyoamua kufanya tokea wakuanzishie migogoro. Hiki ni chama kinachoweza kuwa mkombozi kwa watanzania iwapo kama kitaepuka mambo manne makuu Ufisadi, Migogoro, Udini na Ukabila.
    Huo ndio ujumbe wangu kwako Bwana Zito Kabwe !

    ReplyDelete
  2. Mimi ni mwanachama mpya wa ACT namba 7997, hapa kazuramimba, nimeisoma katiba ya chama, naomba kuuliza je mkutano mkuu huo umeiibadili? Nawapongeza mwenyekiti na katibu mkuu, na mlezi wa chama maana wamo kikatiba, je kiongozi mkuu zzk nafasi kaitoa wapi? Jamani hivi nawaambia kadi nimeishika mkononi, najiuliza niiweke mfukoni au......, nipeni majibu ni ibara ya ngapi inataja kiongozi mkuu atakua xaidi ya mwemyekiti? Labda wenzangu mmesoma zaidi, niambieni haraka la.sivyo naichana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huo ufafanuzi ungeweza kuupata kwenye tawi lako badala ya kuja kupoteza muda hapa

      Delete
  3. Mmmmh, mbona sielewielewi vile, kiongozi mkuu? Je mwenekiti atakua na kaxi gani?

    ReplyDelete

Top Post Ad