Al Shabaab Waichimba Mkwala Kenya Baada ya Shambulio la Garissa, Wasema Wataendelea Kumwaga Damu Kenya Asipotimiza Masharti Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kundi la Kigaidi la Al shaabab Kutoka Somalia wametoa official Statement (Tamko) Kuwa Wenyewe ndio walio husika na Tukio la Kuvamia Chuo kikuu cha Garissa na kuuwa wanafunzi Takribani 147 wiki iliyopita..

Katika tamko hilo Al shabaab wamesema tukio hilo ilikuwa ni majaribio tu kwani wanapanga mauji makubwa zaidi ya hayo nchini humu kama Kenya Haita ondoa majeshi yake nchini Somalia ..

Taarifa hiyo imesema kuwa Wanajeshi wa Kenya wamekuwa Mstari wa Mbele kuuwa Wasomalia wa Kiislam huku Somalia na Kuwabaka Wanawake ovyo hivyo matukio haya wanayofanya sasa ni kulipiza Kisasi...

Nukuu:
"There will be no safer place for Kenyans as long as their troops are in Somalia," Rage said.

Over 5,000 KDF forces are currently in Somalia fighting the Al Shabaab militia.

“You will see more deadly attacks in your country, Kenya," said Rage as he praised the martyrs who butchered 147 kafirs (non-believers) and blew themselves up

Udaku Specially

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HII HALI INANIKUMBUSHA ILE PICHA YA MIAKA YA 70, NO RETREAT, NO SURRENDER, USHAURI WANGU KULIPANA VISASI HAITATUFIKISHA MAHALI SALAMA, KAENI CHINI PANDE ZOTE MBILI MTAFAKARI. NA MUNGU AWASAIDIE

    ReplyDelete
  2. kenya toeni wanajeshi wenu mtawaponza wananchi wenu......

    ReplyDelete
  3. HAWAN JAMAA NI SHIDA KENYA WASIPOANGALIA YANAWEZA KUJA MAAFA MAKUBWA SANA

    ReplyDelete

Top Post Ad