Alazimishwa Kula Mahindi Mabichi Gunia zima Hadi Yaishe Baada ya Kukutwa Akiiba Mahindi Hayo Shambani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamaa huyu (pichani) alazimishwa kula mahindi mabichi baada ya kukutwa akiiba mahindi hayo shambani huko Bukoba mkoani Kagera. Wamiliki wa shamba hilo baada ya kumkuta akiiba mahindi aliyojaza kwenye gunia, walimuamuru kukaa chini na kuyala yakiwa mabichi hadi yaishe, kitendo ambacho jamaa huyo alikubaliana nacho kwa kuogopa kipondo.
Unaonaje adhabu hii aliyopewa jamaa huyu? inatosha au ulipenda apewe adhabu gani?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Basi inatosha ameshajifunza huyo.

    ReplyDelete
  2. Aise hiyo kari sidhani kama atarudi kuiba wasiwasi wangu tu baada ya kula hayo mahindi uwezekano wa kuharisha kama kiboko ni mkubwa sana endapo kama hatowai hospitali ili apate tiba kabla ya

    ReplyDelete

Top Post Ad