AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, Faiza Ally ameshtakiwa na binamu yake baada ya kudaiwa kumtishia kumuua.
Faiza ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyezaa na Sugu ameandika kwenye Instagram: Nimefunguliwa kesi na ndugu yangu ..RAHMA MOHAMED kwa kesi ya kutishia kuua – dah kweli mtu akikusudia mabaya hashindwi – Mungu wangu nisimamie Ameen Niko oyster-bay police.”
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Utakoma kujifanya mswalihina wakati ni malaya
ReplyDeletehuyu nahisi si mzima kiakili, toka sugu amfanye part time yake kawa zuzu, =))
ReplyDelete