AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ajali ya Daladala imeua watu 19 eneo maarufu kama Uwanja wa ndege, Kiwila, Mkoani Mbeya baada ya daladala hiyo kutumbukia kwenye Mto.
Habari toka eneo la tukio zinaarifu kuwa watu wawili tu ndio wamepona akiwemo kondakta.
Ajali hii imetokea baada ya Coaster zinazofanya safari zake kati ya Mbeya na Kyela kugoma hivyo baadhi ya daladala za mjini kuamua kubeba abiria.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
INNA LILLAH WAINNA ILLAH RAJIUN
ReplyDeleteEEEE MUNGU TUSEME NINI BASI!!!! TUNUSURU ULIE JUUUUU DAH
ReplyDelete