Diamond Azidi Kuonyesha ni Kiasa Gani Anampenda Mama Kijacho wake Zari, Aenda Nae Zanzibar Kwa Mara ya Pili..Picha Hizi Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zari and Diamond are romantic everywhere they go together and these pics taken on their way to Zanzibar prove it. They even caused a stir to their fans in Zanzibar as seen in photos below..................






----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu ajuza anakuja zalia njiani, hataki kumuacha Domo akafanye kazi, hajiamini kabisaaa

    ReplyDelete
  2. SI ANGETULIA HOME HUYO MTOTO ANAVYO HANGAISHWA TUMBONI, ANATAMANI ATOKE SIKU SI ZAKE. BI KIZEE ANAOGOPA KUIBIWA BWANA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naomba kuona dura yako.nione we unayejiita kijana muonekano wako . wivu tu sasa huyo ni ajuza na mama yako je nani

      Delete
    2. ANA WIVU MCHAFU SANAA!!!

      Delete
  3. Naona diamond hata akienda chooni, Zaituni anasimama mlangoni asije ongea na demu mwingine atakuja zaa barabari akitulize mwanamke kha!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dah acheni wivu wenu !! wakifanya mastaa wa kizungu mnafurahia sana weusi wenzenu maneno meengi!!! big up diamond!!! nice couple.

      Delete
  4. kiki hizooo, watu waone wanapendana sana, naona mmoja kashamchoka mwenzie ila basi tuu. hakuna jinsi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. uwawatamania sana wivu wako tu

      Delete
  5. sasa hapo angeanguka angesema karogwa au... kutwa kiguu na njia hatulii kwa bi sandra? atakuja zaa kwenye masteji kwa kumfatafata mbana, anafikiri wanaume wanachungwa! jitu zima ovyooooo!

    ReplyDelete
    Replies
    1. waumwa sana na roho acha wivu waki

      Delete
  6. miguu ishaanza kumvimba kwa kuzurura. mtu mwenyewe anamatende ya urithi+41.nauzee unakaribia asoweka matako chini akapumzika mimba si alishika kwa sifa.

    ReplyDelete
  7. Zari angetulia tu home, kwani kunaulazima gani wafatane kama kumbikumbi, inaonyesha ni jinsi gani hamuamini dai, hivi hana hamu yakuwaona watoto wake kutwa kiguu na njia. watu washmchoka sasa

    ReplyDelete
    Replies
    1. shoga ang nisamehe nacomment kwako.Manake naona udaku kabana sehemu ya comment siioni.Ila nikaona hataa lazima nibanane humuhumu nami nicomment.Jaman wee kiajuza Zarina hebu tuliza huo mtumbo chini.Khaaaa,mnawaiga kanye na kim??wale hamuwezi wafikia..yan wale had tunawatamani ila nyie kichefuchefu.Ptuuuu hivi mlipa HIV nyie kweli??yan kitulize wee mwanamke.Afya yenyewe unaijua si njema.Asante madawa sikuhizi basi jihurumie Mweeee.Mnataka tuone mnapendaga hovyoo.Watu tunapenda na kupendwa hadi tunadhani tuko ndotoni.Sasa nyie mwatuonyesha nini huku wote wawili chupi mkononi.Haya nimemaliza.

      Delete
    2. Halafu huyu sugar mama wa mtu mzima diamond(cuz nae kila siku ana 25 eti madai yake nae mwaka huu anaenda kuwa na 26)wewe usivamie miaka yetu.Duh sura imekomaa hiyo wee nae umezaliwa 89??Diamond wee mwongo.Hiyo si miaka yako.

      Delete
    3. ACHANI MAWIVU YENU!!!!

      Delete
  8. Wabongo kiboko yao kwa ku................

    ReplyDelete
  9. Hizi comments hapo juu za mtu mmoja mwenye chuki hasa.pole we

    ReplyDelete
  10. mh!! wabongo bhana hebu wewe mwanamke mwenye miaka 21 tu au mwanaume mwenye girlfriend wa miaka 20 wekeni picha zao hapa tuwapambanishe na zari na 41 tuone nani mzee.Uzee sio umri bhana ni muonekano wako kutokana na roho yako ya chuki kukunja uso kila siku na ugumu wa maisha.

    ReplyDelete
  11. KWANZA ZARI ANA 35 SIO 41+ WIVU WENU TU

    ReplyDelete

Top Post Ad