AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
MSANII TU HUYU,, ANATAKIWA KUCHUKULIWA HATUA!
ReplyDeleteGwajima yeye anaombea wagonjwa na vilema wanatembea mara moja,sasa yeye yupo ktk kiti kwa siku nane sasa kwanini hasijiombee apone na kutembea?Jamani hawa jamaa ni matapeli tuu hawana uwezo huo angalieni nyie wajinga msio na akili mnadhulumiwa mahela yenu nao wanakuwa matajiri kwa ujanja wao.
ReplyDeleteEnyi wagalatia msio na akili,ni nani aliyewaroga na kuwekwa mbele yenu kuwa hawa wachungaji wanafufua na kuponyesha watu? Galatia 3-1