Hivi Mke Wangu Anajiandaa Kuachana na Mimi Baada ya Miaka 10 ya Ndoa au?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Husika na kichwa cha habari, nimekua nikijiuliza hili swali kwa kipindi kirefu sana bila majibu. Mimi na mke wangu tulifunga ndoa ya Kanisani miaka kumi iliyopita, tuna watoto watatu, sisi sote ni wafanyakazi na sote ni masters holders.

Miaka saba iliyopita mke wangu alinifumania na rafiki yake kipenzi. Huyo rafiki alikua anaishi mkoani mara nyingi akija Dar es salaam alikua akifikia kwetu, so akawa amekuja kwa mambo yake.Jumapili moja wife na familia walienda kanisani akabaki rafiki na mimi, baadae nikaenda bar kupata supu, then nikazimua bia kadhaa hadi mchana nikaenda home nilale kidogo nitoke tena.

Nilipofika home nikafungua geti dogo, nilipaki Gari nje. Nikasikia kilio cha mahaba sebuleni naingia hivi namkuta shemeji akiwa na top tu chini hana chochote akijihudumia kwa mkono huku alilia kwa sauti kubwa, nilishindwa kujizuia nikaanza kuvua nguo kama nafukuzwa nikamrukia kochini na akanipokea kwa mikono miwili.

Ikawa ndo mchezo wetu, kumbe housegirl aliunyaka mchezo mzima na kumshtua wife na wakatuwekea mtego ambapo tulinasa, nilikua nimeamka usiku wa nane nikaenda kwa shemeji tukiwa katikati wife akaingia na kutuma na kumtimua rafiki usiku huo huo.Nikamwangukia na kuomba msamaha na nikasamehewa.Miaka michache tangu fumanizi hilo wife akaanzisha tabia ya usiri na kutonishirikisha mambo yake hasa ya maendeleo

(1) Tukio la kwanza:-
Alijenga nyumba sehemu flani hapa Dar es salaam bila mimi kujua, fundi wake alinipa hizo taarifa accidentally
Nilipom confront akakiri na kukosa majibu ya maana.

(2)Tukio la pili:-
Akafungua duka la nguo kimya kimya nikabaini kupitia intelligence info nilizopata akaruka sio duka lake
Ila baadae nilithibitisha ni la kwake.

(3)Tukio la tatu.
Alinunua shamba bagamoyo worth 10 million niligundua baada ya yy kudhulumiwa kumbe Dalali alimtapeli shamba halikua lake.Kesi ikaenda polisi hatimaye mahakamani ikafika pahala ikashindikana kuficha nikagundua, nikaingilia kati kumsaidia mke wangu akarudishiwa pesa zake tukafuta kesi

(4)Tukio la nne
Alinunua Gari 35 million dream car yake, tangu anadunduliza hizo hela akawa anatuma Japan kwa binamu yake kidogo kidogo lakin kimya kimya hadi likafika, nikastukia tu siku amekuja nalo home badala ya kufurahi kwa kweli nilihuzunika

Gari hilo ilibaki kidogo tu liibiwe nikaingilia kati halikuibiwa ilikuaje? Ni hivi:-
Kumbe kijana aliemfanyia clearance bandarini wife hakumlipa yule kijana wakatofautiana
Janki alitaka 1.5 million wife akadai ni laki tano dogo akagomea hela akasema utaona

Baada ya mwezi hilo Gari likaibiwa kibo complex tegeta wife alilia kama mtoto mwanaume nikaingia kazini. Nikatenga kama 1 million kwa polisi, kwa kutumia technolojia ya mawasiliano na kwa ku mtrack yule dogo na mawasiliana yake hatimaye gari ikapatikana dogo yupo nyuma ya nondo hadi leo.

Hata hivyo wife hajaacha hii tabia, hivi sasa ana biashara ya kukopesha watu kwa riba anaifanya kwa siri kubwa ila mimi naijua nimeamua kumuacha tu aendelee maana nimeshachoka.Wadau huyu mtu ana mpango gani na ndoa hii? Au ndo anajiandaa kuishi kivyake baadae? Nimefañya kosa gani lisilokua na msamaha? Kama lipo naomba mnisaidie majibu ya haya maswali.

Kwa upande wangu, biashara zote nazofanya mbali na kazi yangu anazijua.Hata nyumba nilizojenga nimempeleka kote. Nina guest kijijini kwetu ambayo mama yangu mzazi anaisimamia pia Mke wangu anaijua ingawa ningeweza kumficha na asingejua nipo njia panda najiuliza huyu mtu ni Wa kufa na kuzikana kweli?
Je safari yetu ya maisha ni moja kweli?

Sincerely naomba kwa moyo wenu wa dhati mnisaidie mawazo.

NB: Sijazini tena tangu nizini na Rafiki yake miaka saba iliyopita nae sijawahi kumshika wala kumshuku kwa uzinzi.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Da pole nimekosa cha kuongea ila endelea kuvumilia anaweza kua bado anaumia na ule usalit ww jitahid kumpenda zaid kua karbu nae na umwone hakuna unachomficha na hauna mahusiano ya nje, show her lov ambayo uwa humwonesh atarudisha moyo wake na kuish vzur na ww

    ReplyDelete
  2. pole lakini sis wanawake tukiumia kwenye mapenzi tunaumia sana ndani na mkeo bado roho inamuuma sana inaelekea alikuamini sana na pia anajaribu kukutengenezea fika kwamba uko na mtu mwingine na ndo kaishajiwekea mawazo hayo kichwani.
    ngoja nikupe ushauri, mtoe out siku moja tafuta hotel yenye ukimya hata bagamoyo ikibidi laleni huko zungumza naye kwa kirefu mweleze kinachokusumbua na jinsi unavyoumia na unajutia kosa lako Hapa utajua mwenyewe lugha utakayotumia, mwombe tena msamaha na onyesha mapenzi kwake kama ndo umemuona siku ya kwanza. nategemea mtaanza maisha yenu upya. usipotafuta solution sasa mtaachana maana alishaanza kujiandaa kuishi peke yake na akiishaona anaweza ataondoka. Pole sana ukiona vinashindikana washirikishe wasimamizi wenu i hope wataficha siri lakini. sisi wanawake huwa tunaamini wanaume wanafanya makusudi alafu simple wanaomba msamaha tu na unakuwa hauna jinsi zaidi ya kusamehe na unabaki na kinyongo moyoni.

    ReplyDelete
  3. pole sana ndugu.tatizo lako sio kubwa sana mbele ya MUNGU. washirikishe watu wa MUNGU wenye ROHO WA MUNGU ili wakusaidie kurudisha moyo wa mkeo ULIOVUNJIKA. hakika huyo mama aliumizwa sana kama mimi nilivyowahi kuumizwa. lakini mimi baadae nilisamehe na maisha yanaendelea. NAAMINI HUYO MAMA ATASAMEHE TU NA MAISHA YATARUDI KAMA ZAMANI.MUNGU NI MWEMA ATAWASAIDIA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kaka yangu pole kwanza kwa yaliyokukuta.pili usiangalie ati tatio limetokea lini namaanisha uzamani wa kosa kinachotakiwa ni kuangali umeumiza vp moyo wa mtu maana ni shimo kuwa sana hayo unayomfanyia ya kumsaidia kuhusu vitu vyake ni part yako k mwanaume ndani ya nyumba.kubwa unalotakiwa kufanya SEMA NA MUNGU KWA HILI MWOMBE HATA MUNGU MSAMAHA PI cz wakati mnaoana hamkusema tutaishi kwa kupendana na kusalitiana.mchukue mkeo toka nae nje ya mji mnaoishi hata siku kadhaa onyesha ukweli na tubia hasa.then kapime nae afya yako muhakikishie u salama then kaa na mkeo.kinyongo chake na maumiv aliyonayo na ni mkeo yanaweza sababisha hata ukosekanaji wa rizri upande wako.POLE MA BRO

      Delete
    2. chanzo fumanizi,huyo hakuamini tena,na bado anamajonzi huyo na usipoangalia anaweza alipize na rafiki yako ndo roho yake itulie,ebu vaa kiatu chake uone nawe utakavyoumia.

      Delete
  4. Labda nafikiri siku iliyotokea tukio ilikuwa ni siku ya kumwabudu mungu kwanza hukwenda na kuamua kwenda bar na kula bia. Vilevile ukazini na mwanamke ambaye siyo mke wako kwa hiyo umevunja amri kuu mbili za mungu kwahiyo me naona mungu ndo anakupa adhabu hiyo. Cha msingi ni kutubu tu wala hakuna kingine

    ReplyDelete

Top Post Ad